SHABIKI wa Simba kutoka Musoma ameweka wazi kuwa kikosi cha Simba kilianza kujiandaa msimu uliopita na walikuwa wanahiaji Ngao ya Jamii ila ...
SHABIKI wa Simba kutoka Musoma ameweka wazi kuwa kikosi cha Simba kilianza kujiandaa msimu uliopita na walikuwa wanahiaji Ngao ya Jamii ila wakakwama jambo ambalo linawafanya wawekeze nguvu kubwa kwenye mechi za Ligi Kuu Bara na wanahitaji kutwaa mataji miaka 10 hiyo ndiyo heshima kwao.
Credit: SALEH JEMBE
Please subscribe to get all sports news instantly
Septemba 25, Simba ilinyooshwa kwa bao 1-0 dhidi ya Yanga na kuwafanya wapoteze Ngao ya Jamii.
Credit: SALEH JEMBE
Please subscribe to get all sports news instantly
COMMENTS