INGIZO JIPYA YANGA HATIHATI KUIVAA MBEYA CITY
HomeMichezo

INGIZO JIPYA YANGA HATIHATI KUIVAA MBEYA CITY

BEKI wa kati  Dickson Job ambaye ni ingizo jipya ndani ya kikosi hicho kuna hatihati ataukosa mchezo wa kwanza kwenye mzunguko wa pili dhi...


BEKI wa kati  Dickson Job ambaye ni ingizo jipya ndani ya kikosi hicho kuna hatihati ataukosa mchezo wa kwanza kwenye mzunguko wa pili dhidi ya Mbeya City kutokana na kusumbuliwa na majeraha.


 Licha ya kwamba ameanza mazoezi mepesi ndani ya timu yake mpya baada ya kusaini dili la miaka miwili akitokea Mtibwa Sugar nafasi yake ya kuwapa  Mbeya City bado ndogo kwa kuwa  ana tatizo la nyama za paja.


Ikiwa ataukosa mchezo huo kwa msimu wa 2020/21 jumla atakuwa amewakosa Mbeya City mara mbili kwa kuwa hata alipokuwa Mtibwa Sugar Kwenye mechi zote 17 alikuwepo kikosi cha kwanza ila mchezo wa Mbeya City alikosekana.


Akizungumza na Saleh Jembe,  Hafidh Saleh, meneja wa Yanga amesema kuwa Job amepewa program maalumu itakayomrejesha kwenye ubora.


"Alikuja akiwa ni majeraha hivyo ameanza program maalumu taratibu atarejea kwenye ubora na atajiunga na wenzake, ".



Credit: SALEH JEMBE

Please subscribe to get all sports news instantly
Name

Afya,4,Ajira,2657,Audio,26,Biashara,2,Burudani,43,Economics,1,ELIMU,26,Gossip,38,Habari,3618,History,2,Kimataifa,202,kisiasa,13,Kiswahili,6,Kitaifa,147,Magazeti,44,Matokeo,3,Matukio,89,Michezo,2829,Muziki,62,Nairobi aiport,1,Ripoti,4,Tools,1,Top Stories,757,Video,47,Vituko,15,
ltr
item
Antagon Blog: INGIZO JIPYA YANGA HATIHATI KUIVAA MBEYA CITY
INGIZO JIPYA YANGA HATIHATI KUIVAA MBEYA CITY
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEhPus4nPN3Ehb3DVaZbuAThvIgPnJ0oWKKQRYZ4uh9BzptLD8Hg6IoxmeEy6ehfdCdGYQw_YzTVt0OrcreaJkBahURgB9Erc38jruOI25-k4HkrRr4DCqzzXIXZk22DGbNir4NzOl9GzGtN/w632-h640/Screenshot_20210210-062414_Instagram.jpg
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEhPus4nPN3Ehb3DVaZbuAThvIgPnJ0oWKKQRYZ4uh9BzptLD8Hg6IoxmeEy6ehfdCdGYQw_YzTVt0OrcreaJkBahURgB9Erc38jruOI25-k4HkrRr4DCqzzXIXZk22DGbNir4NzOl9GzGtN/s72-w632-c-h640/Screenshot_20210210-062414_Instagram.jpg
Antagon Blog
https://antagonf.blogspot.com/2021/02/ingizo-jipya-yanga-hatihati-kuivaa.html
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/2021/02/ingizo-jipya-yanga-hatihati-kuivaa.html
true
8268252095325502418
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy