YANGA YATAJA UDHAIFU WA SIMBA UTAKAOWAMALIZA KWA MKAPA
HomeMichezo

YANGA YATAJA UDHAIFU WA SIMBA UTAKAOWAMALIZA KWA MKAPA

 BEKI wa kati wa Yanga, Abdallah Shaibu ‘Ninja’, amefichua kuwa kwa upande wao, hawana wasiwasi wa kuwafunga Simba katika mchezo wa Ngao y...

VIDEO: MO KUSEPA SIMBA, MANARA KUWASHA MOTO TENA,
VIDEO: YANGA: HAJI NI MALI YETU, ONYANGO ANA MIAKA YA KENYA
SIMBA YASAJILI MTAMBO WA MABAO 9

 BEKI wa kati wa Yanga, Abdallah Shaibu ‘Ninja’, amefichua kuwa kwa upande wao, hawana wasiwasi wa kuwafunga Simba katika mchezo wa Ngao ya Jamii, kutokana na wapinzani wao kujiamini sana huku akiamini bado mchezo huo utakuwa mgumu.

Yanga na Simba zinatarajia kushuka kwenye Uwanja wa Benjamin Mkapa, Dar kwa ajili ya mchezo wa Ngao ya Jamii ambao utapigwa leo Jumamosi huku ikiwa ni ishara ya kuanza kwa msimu mpya wa ligi kuu.


Akizungumza na Championi Ijumaa, Ninja alisema kuwa wana nafasi kubwa ya kuwafunga wapinzani wao katika mchezo huo kwa kuwa wamekuwa wakijiamini kupita kiasi tofauti na wao (Yanga).

“Kwanza hii mechi itakuwa ngumu kwa timu zote yaani kama haina mwenyewe lakini linapokuja suala la matokeo naona tuna nafasi kubwa ya kuweza kupata ushindi kwa sababu wenzetu wamekuwa wakijiamini sana, kitu ambacho ndiyo kitawaponza.

“Unajua wao wamekuwa wakijiamini kupita kiasi kutokana na makombe ya msimu uliopita lakini kwetu tunachoamini nidhamu yetu ndiyo itakuwa kitu bora zaidi kutupa matokeo kwa sababu tutatumia madhaifu (udhaifu) yao ya kujiamini sana,” alisema Ninja.



Credit: SALEH JEMBE

Please subscribe to get all sports news instantly
Name

Afya,4,Ajira,2657,Audio,26,Biashara,2,Burudani,43,Economics,1,ELIMU,26,Gossip,38,Habari,3618,History,2,Kimataifa,202,kisiasa,13,Kiswahili,6,Kitaifa,147,Magazeti,44,Matokeo,3,Matukio,89,Michezo,2829,Muziki,62,Nairobi aiport,1,Ripoti,4,Tools,1,Top Stories,757,Video,47,Vituko,15,
ltr
item
Antagon Blog: YANGA YATAJA UDHAIFU WA SIMBA UTAKAOWAMALIZA KWA MKAPA
YANGA YATAJA UDHAIFU WA SIMBA UTAKAOWAMALIZA KWA MKAPA
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEiMoIIqr_ShqMqi2EsaqsudVN1PjBLsd91Tt_0qVt517CMMc_HP0AG04m-rwgULwg3cmhD4Tgk0oP4XwmwH8srEh5fmQflZe2ecbtnBvxKSbGh_BzsLw2H_AmnZWwdDHj-lWJT05pkwwCKd/w640-h402/Ninja.jpg
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEiMoIIqr_ShqMqi2EsaqsudVN1PjBLsd91Tt_0qVt517CMMc_HP0AG04m-rwgULwg3cmhD4Tgk0oP4XwmwH8srEh5fmQflZe2ecbtnBvxKSbGh_BzsLw2H_AmnZWwdDHj-lWJT05pkwwCKd/s72-w640-c-h402/Ninja.jpg
Antagon Blog
https://antagonf.blogspot.com/2021/09/yanga-yataja-udhaifu-wa-simba.html
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/2021/09/yanga-yataja-udhaifu-wa-simba.html
true
8268252095325502418
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy