NYOTA YANGA PRINCESS AFIKIRIA MABAO 100
HomeMichezo

NYOTA YANGA PRINCESS AFIKIRIA MABAO 100

 ASHA  Masaka, 'Ashamabao' mshambuliaji wa timu ya Yanga Princess amesema kuwa kwenye kila mashindano huwa anafikiria kufunga maba...

SIMBA KAMILI GADO KUIVAA PRISONS LEO KWA MKAPA
KUMBE! WADUKUZI WALIHACK NAMBA YA MWENYEKITI WA YANGA
MUONEKANO WA UKURASA WA MBELE GAZETI LA CHAMPIONI JUMATANO

 ASHA  Masaka, 'Ashamabao' mshambuliaji wa timu ya Yanga Princess amesema kuwa kwenye kila mashindano huwa anafikiria kufunga mabao 100.


Kwa sasa Kwenye Ligi ya Wanawake Tanzania,  Asha ni namba mbili kwa utupiaji ambapo Oppa Clement wa Simba Queens na Fatma Mustapha wa JKT Queens namba moja wakiwa wametupia mabao 20.


Yeye Asha ikiwa ni msimu wake wa kwanza ndani ya kikosi hicho kinachonolewa na Edna Lema ametupia mabao 15.


Kikosi cha Yanga Princess kinaongoza Ligi Kuu ya Wanawake baada ya kucheza mechi 11 na kibindoni kina pointi 31.


Asha amesema:"Huwa nafikiria kufunga mabao kuanzia 100 jambo ambalo linanifanya nazidi kupambana ndani ya Uwanja,".



Credit: SALEH JEMBE

Please subscribe to get all sports news instantly
Name

Afya,4,Ajira,2657,Audio,26,Biashara,2,Burudani,43,Economics,1,ELIMU,26,Gossip,38,Habari,3618,History,2,Kimataifa,202,kisiasa,13,Kiswahili,6,Kitaifa,147,Magazeti,44,Matokeo,3,Matukio,89,Michezo,2829,Muziki,62,Nairobi aiport,1,Ripoti,4,Tools,1,Top Stories,757,Video,47,Vituko,15,
ltr
item
Antagon Blog: NYOTA YANGA PRINCESS AFIKIRIA MABAO 100
NYOTA YANGA PRINCESS AFIKIRIA MABAO 100
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEh5AMBetApojlpDjNFWweF61SWuLe30O1HUWgqAqRa5iL8w07FaK5OCF8KkQvZxE37JRfnJH4GhjsxP_jMitZ6goJUa5NJh3ENKu8QZN1cfIvIVOy5EauQhCAnaaVyJRQqW4E0O3zrHDzve/w638-h640/IMG_20210210_060152_551.jpg
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEh5AMBetApojlpDjNFWweF61SWuLe30O1HUWgqAqRa5iL8w07FaK5OCF8KkQvZxE37JRfnJH4GhjsxP_jMitZ6goJUa5NJh3ENKu8QZN1cfIvIVOy5EauQhCAnaaVyJRQqW4E0O3zrHDzve/s72-w638-c-h640/IMG_20210210_060152_551.jpg
Antagon Blog
https://antagonf.blogspot.com/2021/02/nyota-yanga-princess-afikiria-mabao-100.html
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/2021/02/nyota-yanga-princess-afikiria-mabao-100.html
true
8268252095325502418
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy