Upatikana Wa Saruji Nchini Ni wa Kuridhisha: Prof. Mkumbo
HomeHabari

Upatikana Wa Saruji Nchini Ni wa Kuridhisha: Prof. Mkumbo

Waziri wa Viwanda na Biashara Prof. Kitila Mkumbo ameeleza kuwa hali ya upatikanaji wa saruji nchini ni ya kuridhisha na viwanda vya saru...

Habari Zilizopo Katika Magazeti ya Leo Disemba 15
PICHA: Rais Samia Akiondoka Katika Uwanja Wa Ndege Wa Kimataifa Wa Julius Nyerere Dar Es Salaam Akielekea Jijini Dodoma
Makamu Wa Rais Aanza Ziara Mkoani Kigoma


Waziri wa Viwanda na Biashara Prof. Kitila Mkumbo ameeleza kuwa hali ya upatikanaji wa saruji nchini ni ya kuridhisha na viwanda vya saruji kwa sasa vinatoshereza mahitaji ya nchi.

Prof. Mkumbo ameyasema hayo Oktoba 15, 2021 alipotembelea kiwanda cha Saruji cha Twiga ili kujiridhisha na uzalishajii na upatikanaji wa saruji baada ya Tanzania kunufaika fedha za mkopo wa Shilingi trilioni 1.3 kutoka Shirika la Fedha Duniani zitatumika katika kutekeleza Miradi ya Maendeleo ikiwemo kuboresha huduma za jamii katika sekta ya Afya, Elimu, Utalii na Maji.

“Niwahakikishie Watanzania hali ya upatikanaji wa saruji nchini ni mzuri kulingana na mahitaji ya saruji na viwanda tulivyonavyo hakuna changamoto” ameeleza Prof. Kitila Mkumbo

Prof. Mkumbo ameeleza kuwa hali ya umeme katika viwanda inaendelea kuboreka lakini bado kuna changamoto kidogo ambazo atakutana wa Waziri wa Nishati Mhe. January Makamba ili kuhakikisha changamoto ya umeme katika kiwanda cha Twiga na viwanda vingine nchini inakwisha kabisa.

Aidha, Prof. Mkumbo amekutana na kufanya mazungumzo na mjumbe wa kampuni iliyowekeza katika kiwanda hicho kutoka Ujerumani ili kujadili maendeleo ya kiwanda na kumpa uhakika kuwa Serikali ya Tanzania inaendelea kuboresha mazingira ya Uwekezaji wao ambao wamefanya na wanaendelea kupanua.


Credit: MPEKUZI

Thanks for your time please share with your friends
Name

Afya,4,Ajira,2657,Audio,26,Biashara,2,Burudani,43,Economics,1,ELIMU,26,Gossip,38,Habari,3618,History,2,Kimataifa,202,kisiasa,13,Kiswahili,6,Kitaifa,147,Magazeti,44,Matokeo,3,Matukio,89,Michezo,2829,Muziki,62,Nairobi aiport,1,Ripoti,4,Tools,1,Top Stories,757,Video,47,Vituko,15,
ltr
item
Antagon Blog: Upatikana Wa Saruji Nchini Ni wa Kuridhisha: Prof. Mkumbo
Upatikana Wa Saruji Nchini Ni wa Kuridhisha: Prof. Mkumbo
https://blogger.googleusercontent.com/img/a/AVvXsEikmq7fj9EGpb9MFQQb2ZyfbtcZC0g-SvrHffqZplv0SZov8vhKZuZgknhpcOLzLIquX_g6BEpGX-6lg9xrzYGCRQDFxthzLxU3RWwfXkOJVYVSDp33ZOhB9Y50aIPImdGihnLGczRiD5LHqQfuu_hkOwj8Zjv-QxouXjRuC8ZwR9VePYpiqiil_kg0dw=s16000
https://blogger.googleusercontent.com/img/a/AVvXsEikmq7fj9EGpb9MFQQb2ZyfbtcZC0g-SvrHffqZplv0SZov8vhKZuZgknhpcOLzLIquX_g6BEpGX-6lg9xrzYGCRQDFxthzLxU3RWwfXkOJVYVSDp33ZOhB9Y50aIPImdGihnLGczRiD5LHqQfuu_hkOwj8Zjv-QxouXjRuC8ZwR9VePYpiqiil_kg0dw=s72-c
Antagon Blog
https://antagonf.blogspot.com/2021/10/upatikana-wa-saruji-nchini-ni-wa.html
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/2021/10/upatikana-wa-saruji-nchini-ni-wa.html
true
8268252095325502418
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy