COPPA ITALIA KUWAKUTANISHA ATALANTA NA NAPOLI
HomeMichezo

COPPA ITALIA KUWAKUTANISHA ATALANTA NA NAPOLI

  Wiki hii kunamuendelezo wa mashindano kadha wa kadha kunako soka la Ulaya. FA Cup, Coppa Italia na La Liga ni miongoni mwa mashindano ...

KMC YAANZA KUIVUTIA KASI YANGA
BAKARI MWANYETO JEMBE LA KAZI YANGA LICHA YA MAKOSA YANAYOIGHARIMU TIMU
JOASH ONYANGO ASEPA NA TUZO YA LUIS MIQUSSONE

 


Wiki hii kunamuendelezo wa mashindano kadha wa kadha kunako soka la Ulaya. FA Cup, Coppa Italia na La Liga ni miongoni mwa mashindano yatakatoendelea wiki hii.

 

Siku ya Jumanne ni Burnley vs Bournemouth katika mzunguko wa 5 wa Kombe la FA. Meridianbet tumekuwekea Odds ya 2.40 kwa Burnley kwenye mtanange huu.

 

Kule Hispania katika muendelezo wa La Liga Sentander, Real Madrid atachuana na Getafe. Bado Madrid hajakubali kupoteza ubingwa wake msimu na hivyo anapambana kwenye kila mchezo kuzisaka pointi 3 muhimu. Meridianbet tumekuwekea Odds ya 1.60 kwa Madrid.

 

FA Cup itaendelea tena Jumatano ambapo Leicester City atamkaribisha Brighton Albion, huu ni mchezo utakaozikutanisha timu mbili zinazocheza EPL msimu huu. Hapa kunaodds ya 1.95 kwa Leicester City kupitia Meridianbet.

 

Kule Italia ndio hapatoshi Jumatano hii, nusu fainali ya pili ya Coppa Italia kuwakutanisha Atalanta vs Napoli.

 

 Mchezo wa kwanza walitoka sare lakini kwenye mchezo huu, lazima mshindi apatikane.

Nani atakwenda fainali msimu huu, Meridianbet tumekuweka Odds ya 1.90 kwa Atalanta kama mwenyeji wa mchezo huu.

 

Alhamis tunarudi tena kwenye FA Cup kule Uingereza ambapo safari hii ni Wolves vs Southampton. Soka flani lenye viwango na udambu wa kuzidi kila zinapokutana timu hizi. Kwa Meridianbet, tumekuwekea Odds ya 2.45 kwa Wolves.


Tutaimaliza siku kwa mchezo wa La Liga ambapo Athletic Bilbao atachuana na Levante alhamisi hii.

 

 Kila timu bado inapambania nafasi za uhai kwenye msimamo wa La Liga msimu huu. Kwa umuhimu wa mchezo huu, Meridianbet tumekuwekea Odds ya 2.05 kwa Bilbao.

 

Meridianbet, Nyumba yenye Odds Bora na Bonasi Kubwa!



Credit: SALEH JEMBE

Please subscribe to get all sports news instantly
Name

Afya,4,Ajira,2657,Audio,26,Biashara,2,Burudani,43,Economics,1,ELIMU,26,Gossip,38,Habari,3618,History,2,Kimataifa,202,kisiasa,13,Kiswahili,6,Kitaifa,147,Magazeti,44,Matokeo,3,Matukio,89,Michezo,2829,Muziki,62,Nairobi aiport,1,Ripoti,4,Tools,1,Top Stories,757,Video,47,Vituko,15,
ltr
item
Antagon Blog: COPPA ITALIA KUWAKUTANISHA ATALANTA NA NAPOLI
COPPA ITALIA KUWAKUTANISHA ATALANTA NA NAPOLI
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEiBR6KHAocHkmgr8TxUiSGXRQi-tqAyHZRRel8SMKg8g8SiqBsW2PfGYYYKp_ERqELLro84ZT1oCitn2-8G7llVk1vXC1waZtB3XMgsOkjipyfbDNvFKyicbB5-Tvvbl68CzOKiZvCDPvJl/w640-h514/Napoli-vs-Atalanta-770x618.jpg
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEiBR6KHAocHkmgr8TxUiSGXRQi-tqAyHZRRel8SMKg8g8SiqBsW2PfGYYYKp_ERqELLro84ZT1oCitn2-8G7llVk1vXC1waZtB3XMgsOkjipyfbDNvFKyicbB5-Tvvbl68CzOKiZvCDPvJl/s72-w640-c-h514/Napoli-vs-Atalanta-770x618.jpg
Antagon Blog
https://antagonf.blogspot.com/2021/02/coppa-italia-kuwakutanisha-atalanta-na.html
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/2021/02/coppa-italia-kuwakutanisha-atalanta-na.html
true
8268252095325502418
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy