KIPA wa timu ya Rivers United ameweka wazi kuwa walifanya kazi kubwa kwenye kusaka ushindi mbele ya Yanga katika mchezo wa Ligi ya Mabingwa ...
KIPA wa timu ya Rivers United ameweka wazi kuwa walifanya kazi kubwa kwenye kusaka ushindi mbele ya Yanga katika mchezo wa Ligi ya Mabingwa Afrika ambao ulichezwa Uwanja wa Mkapa na timu hiyo kushinda kwa bao 1-0 na ameweka wazi kwamba kuelekea kwenye mchezo wao wa marudiano wanahitaji kushinda kwa mara nyingine
Credit: SALEH JEMBE
Please subscribe to get all sports news instantly
Ameongeza kuwa Yanga wanaongea sana tena.
Credit: SALEH JEMBE
Please subscribe to get all sports news instantly
COMMENTS