OFISA Habari wa Yanga, Haji Manara ametupa dongo kimtindo kwa mabosi wake wa zamani Simba katika ishu ya kutumia msuli kuwaita mashabiki uwa...
OFISA Habari wa Yanga, Haji Manara ametupa dongo kimtindo kwa mabosi wake wa zamani Simba katika ishu ya kutumia msuli kuwaita mashabiki uwanjani kwa kueleza kuwa mahali alipo kwa sasa hatatumia msuli mwingi ni suala la kukumbushana kidogo tu kwa kuwa alikuwa anaona gere namna watani zao walivyokuwa wakifanya kazi.
Credit: SALEH JEMBE
Please subscribe to get all sports news instantly
Kabla ya kujiunga na Yanga, Manara alikuwa ni Ofisa Habari wa Simba. Jumapili Yanga ina kibarua cha kusaka ushindi mbele ya Rivers United na slogan yao inasema, 'The Return of the Champions,'
Credit: SALEH JEMBE
Please subscribe to get all sports news instantly
COMMENTS