HomeHabariTop Stories

Mahakama ya Korea Kusini yakataa ombi linalopinga kuwekwa kizuizini kwa Yoon

Mahakama moja ya Korea Kusini imetupilia mbali ombi linalopinga kuwekwa kizuizini kwa Rais anayeshutumiwa Yoon Suk-yeol na timu ya pamoja ya...

Mahakama moja ya Korea Kusini imetupilia mbali ombi linalopinga kuwekwa kizuizini kwa Rais anayeshutumiwa Yoon Suk-yeol na timu ya pamoja ya mamlaka za upelelezi.

Uamuzi huo wa jana Alhamisi wa Mahakama Kuu ya Eneo la Seoul ulifikiwa baada ya wanasheria wa Yoon, wanaosema kuzuiliwa kwake ni batili, kuwasilisha maombi ya kutaka mapitio ya uhalali wa kuzuiliwa huko, juzi Jumatano.

Yoon aliwekwa kizuizini na timu ya pamoja ya upelelezi juzi Jumatano akituhumiwa kwa makosa ya uasi kuhusiana na amri yake iliyodumu kwa muda mfupi ya sheria ya kijeshi, mwezi uliopita.

Yoon alikataa kutoa matamko wakati wa mahojiano na wapelelezi kabla ya kuhamishiwa katika kituo cha kizuizi nje kidogo ya mji wa Seoul. Aliendelea kupinga kuhojiwa jana Alhamisi, akisema tayari alikuwa ameleezea msimamo wake kikamilifu.

Vyombo vya habari vya Korea Kusini vinasema kwamba timu ya upelelezi inatarajiwa leo Ijumaa kuomba kibali cha mahakama cha kumkamata Yoon kwa upelelezi zaidi.

The post Mahakama ya Korea Kusini yakataa ombi linalopinga kuwekwa kizuizini kwa Yoon first appeared on Millard Ayo.



from Millard Ayo https://ift.tt/koj0pRf
Name

Afya,4,Ajira,2657,Audio,26,Biashara,2,Burudani,43,Economics,1,ELIMU,26,Gossip,38,Habari,3618,History,2,Kimataifa,202,kisiasa,13,Kiswahili,6,Kitaifa,147,Magazeti,44,Matokeo,3,Matukio,89,Michezo,2829,Muziki,62,Nairobi aiport,1,Ripoti,4,Tools,1,Top Stories,757,Video,47,Vituko,15,
ltr
item
Antagon Blog: Mahakama ya Korea Kusini yakataa ombi linalopinga kuwekwa kizuizini kwa Yoon
Mahakama ya Korea Kusini yakataa ombi linalopinga kuwekwa kizuizini kwa Yoon
Antagon Blog
https://antagonf.blogspot.com/2025/01/mahakama-ya-korea-kusini-yakataa-ombi.html
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/2025/01/mahakama-ya-korea-kusini-yakataa-ombi.html
true
8268252095325502418
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy