FEI TOTO:HAIKUWA KAZI RAHISI, MAPAMBANO YANAENDELEA
HomeMichezo

FEI TOTO:HAIKUWA KAZI RAHISI, MAPAMBANO YANAENDELEA

  FEISAL Salum, kiungo wa timu ya taifa ya Tanzania, Taifa Stars inayonolewa na Kocha Mkuu, Kim Poulsen amesema kuwa mchezo wao dhidi ya ...

Unaipa nafasi gani Tanzania kwenye michezo ya kufuzu CHAN 2016?
Simba yanyemelea ubingwa
Yanga: Waleteni Etoile

 


FEISAL Salum, kiungo wa timu ya taifa ya Tanzania, Taifa Stars inayonolewa na Kocha Mkuu, Kim Poulsen amesema kuwa mchezo wao dhidi ya Madagascar haukuwa rahisi ila furaha yao ni kuona kwamba wamepata ushindi.

Septemba 7, Taifa Stars iliweza kupata ushindi wa mabao 3-2 na bao la ushindi lilifungwa na kiungo huyo wa mpira kwa mguu la kulia akimalizia pasi ya nahodha Mbwana Samatta.

Ushindi huo umeifanya Tanzania kuweza kuongoza kundi J kwa kuwa imefikisha jumla ya pointi 4 ikiwa sawa na ile ya Benin iliyo nafasi ya pili lakini tofauti ni kwenye idadi ya mabao ya kufunga na kufungwa.

Tanzania imefunga jumla ya mabao manne na Benin imefunga jumla ya mabao matatu, Madagascar ipo nafasi ya nne ikiwa haijakusanya pointi huku ile nafasi ya tatu ikiwa mali ya DR Congo.

Fei amesema:"Maelekezo ya mwalimu yamefanya kila kitu kiende vizuri, tunamshukuru Mungu tumepata ushindi, lakini haikuwa mchezo rahisi kwetu.

"Makosa ambayo tuliyafanya kipindi cha kwanza yalimfanya mwalimu kutuambia kwamba tunashindwa kumaliza nafasi na tunakaa sana nyuma jambo ambalo lilitufanya tubadilike kipindi cha pili na kupata ushindi," 

Stars bado ina kibarua cha kufanya ili kuweza kupenya katika hatua ya makundi na kuwa miongoni mwa timu tisa ambazo zitakazocheza mchezo wa mtoano kwa ajili ya kusaka nafasi ya timu tano zitakazofuzu Kombe la Dunia nchini Qatar 2022.


Credit: SALEH JEMBE

Please subscribe to get all sports news instantly
Name

Afya,4,Ajira,2657,Audio,26,Biashara,2,Burudani,43,Economics,1,ELIMU,26,Gossip,38,Habari,3618,History,2,Kimataifa,202,kisiasa,13,Kiswahili,6,Kitaifa,147,Magazeti,44,Matokeo,3,Matukio,89,Michezo,2829,Muziki,62,Nairobi aiport,1,Ripoti,4,Tools,1,Top Stories,757,Video,47,Vituko,15,
ltr
item
Antagon Blog: FEI TOTO:HAIKUWA KAZI RAHISI, MAPAMBANO YANAENDELEA
FEI TOTO:HAIKUWA KAZI RAHISI, MAPAMBANO YANAENDELEA
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEjcx0hh-tbDRQl25t_Y2tKK299wfYfqdJrWa7Ht-uRqz5tAV7yQONXOUDn9eHokbnmGxkdFiMIdbtFXqW0br-ZEhUqTFRmuCTLjv0ZdIrQwF0TYTuik6ZS3vGpAj_XQTHB1SpV-Rtzw4uvi/w640-h448/Fei+Toto+Stars.jpg
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEjcx0hh-tbDRQl25t_Y2tKK299wfYfqdJrWa7Ht-uRqz5tAV7yQONXOUDn9eHokbnmGxkdFiMIdbtFXqW0br-ZEhUqTFRmuCTLjv0ZdIrQwF0TYTuik6ZS3vGpAj_XQTHB1SpV-Rtzw4uvi/s72-w640-c-h448/Fei+Toto+Stars.jpg
Antagon Blog
https://antagonf.blogspot.com/2021/09/fei-totohaikuwa-kazi-rahisi-mapambano.html
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/2021/09/fei-totohaikuwa-kazi-rahisi-mapambano.html
true
8268252095325502418
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy