FEI TOTO AULA NDANI YA YANGA
HomeMichezo

FEI TOTO AULA NDANI YA YANGA

  K OCHA Mkuu wa Yanga,  Nassredine Nabi  amefunguka kuwa hana  mpango wa kumhamisha  Feisal Salum katika eneo la kiungo  mshambuliaji kut...

MUONEKANO WA UKURASA WA MBELE GAZETI LA CHAMPIONI JUMATATU
TAARIFA KUHUSU UCHAGUZI WA VIONGOZI TFF
JOHN BOCCO AWEKA REKODI YA MABAO MASHINDANO MATATU TOFAUTI

 KOCHA Mkuu wa Yanga, Nassredine Nabi amefunguka kuwa hana mpango wa kumhamisha Feisal Salum katika eneo la kiungo mshambuliaji kutokana na kufanya vizuri zaidi katika eneo hilo.


Feisal kabla ya kucheza katika eneo 
hilo alikuwa anacheza katika eneo la kiungo wa ulinzi akiwa sambamba na Mukoko Tonombe.

 

Akizungumza na Championi Ijumaa, Nabi aliweka wazi kuwa anafurahishwa na uwezo anauonyesha Feisal katika eneo la kiungo mshambuliaji hivyo wategemee wakimuona kiungo huyo akicheza mara kwa mara katika eneo hilo.

 

“Feisal anafanya vizuri katika majukumu yake mapya ya kushambulia, watu watamuona sana akicheza katika eneo hilo, nadhani wengi wameona na hakuna shaka na anachokifanya kwa sasa katika sehemu anayocheza.

 

“Feisal nilimkuta akicheza katika eneo la ulinzi lakini kwangu niliona anafaa kucheza katika majukumu ya kushambulia zaidi.

 

“Hii sio mara ya kwanza kutokea katika maisha ya mpira haswa katika majukumu kubadilika kwa mchezaji, mifumo ya mwalimu hubadilisha wachezaji,” alisema kocha huyo.



Credit: SALEH JEMBE

Please subscribe to get all sports news instantly
Name

Afya,4,Ajira,2657,Audio,26,Biashara,2,Burudani,43,Economics,1,ELIMU,26,Gossip,38,Habari,3618,History,2,Kimataifa,202,kisiasa,13,Kiswahili,6,Kitaifa,147,Magazeti,44,Matokeo,3,Matukio,89,Michezo,2829,Muziki,62,Nairobi aiport,1,Ripoti,4,Tools,1,Top Stories,757,Video,47,Vituko,15,
ltr
item
Antagon Blog: FEI TOTO AULA NDANI YA YANGA
FEI TOTO AULA NDANI YA YANGA
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEjyzsfH02Uo9dB3ykMVWXqt4RXsU6bzroPF7lhTdt9WyDV97WmGz-gZhaEC8jU_X39OQoSX4QbTYg7PWR6uk2k6QjppUM_U2oRvkm2CR9pyNgwk_BrQo2KHR8GjtPr1p7Y7H2E9Z9iLoRrk/w640-h640/Fei+Toto.jpg
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEjyzsfH02Uo9dB3ykMVWXqt4RXsU6bzroPF7lhTdt9WyDV97WmGz-gZhaEC8jU_X39OQoSX4QbTYg7PWR6uk2k6QjppUM_U2oRvkm2CR9pyNgwk_BrQo2KHR8GjtPr1p7Y7H2E9Z9iLoRrk/s72-w640-c-h640/Fei+Toto.jpg
Antagon Blog
https://antagonf.blogspot.com/2021/09/fei-toto-aula-ndani-ya-yanga.html
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/2021/09/fei-toto-aula-ndani-ya-yanga.html
true
8268252095325502418
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy