JOHN BOCCO AWEKA REKODI YA MABAO MASHINDANO MATATU TOFAUTI
HomeMichezo

JOHN BOCCO AWEKA REKODI YA MABAO MASHINDANO MATATU TOFAUTI

  NAHODHA wa Simba, John Bocco ameweka rekodi ya kipekee kwa kufunga katika mechi nne mfululizo ambazo ameanza ikiwa ni rekodi ya kibabe ...



 NAHODHA wa Simba, John Bocco ameweka rekodi ya kipekee kwa kufunga katika mechi nne mfululizo ambazo ameanza ikiwa ni rekodi ya kibabe kwa mzawa huyo.

Katika mabao hayo ambayo amefunga ilikuwa ni kwenye mechi za mashindano tofauti ikiwa ni Ligi ya Mabingwa, Kombe la Shirikisho na Ligi Kuu Tanzania Bara.

Pia amekuwa hana chagup katika uwanja ambao anafunga iwe ni Uwanja wa Mkapa ama nje ya Dar yeye anacheka na nyavu tu.

Alianza Mei 22 ambapo alitupia mabao mawili mbele ya Kaizer Chiefs ilikuwa ni mchezo wa Ligi ya Mabingwa Afrika, Uwanja wa Mkapa.

Kwenye mchezo huu hatua ya robo fainali, ubao ulikamiliksa Simba 3-0 Kaizer Chiefs ila Simba ilienguliwa katika Ligi ya Mabingwa Afrika baada ya mchezo wa kwanza kupoteza kwa kufungwa mabao 4-0.

Alipachika mabao hayo dakika ya 23 na 55 pia kwenye mchezo wa Kombe la Shirikisho hatua ya nusu fainali dhidi ya Dodoma Jiji alipachika mabao mawili dakika ya 23 na 41.

Dakika 90, ubao wa Uwanja wa Mkapa ulisoma Simba 3-0 Dodoma Jiji na ikatinga hatua ya nusu fainali ambapo itamenyana na Azam FC katika mchezo wao ujao ikiwa itashinda itakutana na mshindi wa mchezo kati ya Biashara United v Yanga.

Pia Mei 29 alipachika bao moja Uwanja wa Majaliwa mbele ya Namungo kwenye mchezo wa ligi ilikuwa ni dakika ya 83 na alipachika mabao mawili kwenye mchezo wa ligi mbele ya Ruvu Shooting dakika ya 17 na 87.

Ndani ya mechi nne ambazo Bocco amecheza sawa na dakika 360 amepachika mabao 7.Katika ligi ni namba mbili kwa utupiaji akiwa na mabao 13 na kinara ni Prince Dube mwenye mabao 14 yupo zake Azam FC.



Credit: SALEH JEMBE

Please subscribe to get all sports news instantly
Name

Afya,4,Ajira,2657,Audio,26,Biashara,2,Burudani,43,Economics,1,ELIMU,26,Gossip,38,Habari,3618,History,2,Kimataifa,202,kisiasa,13,Kiswahili,6,Kitaifa,147,Magazeti,44,Matokeo,3,Matukio,89,Michezo,2829,Muziki,62,Nairobi aiport,1,Ripoti,4,Tools,1,Top Stories,757,Video,47,Vituko,15,
ltr
item
Antagon Blog: JOHN BOCCO AWEKA REKODI YA MABAO MASHINDANO MATATU TOFAUTI
JOHN BOCCO AWEKA REKODI YA MABAO MASHINDANO MATATU TOFAUTI
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEjr7v4H0-zLDShDl1bVkYBBSassbWsJngEI-vtfig0GQkevFj9jWaJ_zKhX4sNTrXZPkftZ-ZIFvExs0CjHx8vPni-nlxFz8zYvG9H9FGdzDH5-DC0uaQ_6k2Yn0OD_9CLi9whdcV2duIM5/w640-h640/john_22_bocco-149666536_447187679856161_9086872294171995651_n.jpg
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEjr7v4H0-zLDShDl1bVkYBBSassbWsJngEI-vtfig0GQkevFj9jWaJ_zKhX4sNTrXZPkftZ-ZIFvExs0CjHx8vPni-nlxFz8zYvG9H9FGdzDH5-DC0uaQ_6k2Yn0OD_9CLi9whdcV2duIM5/s72-w640-c-h640/john_22_bocco-149666536_447187679856161_9086872294171995651_n.jpg
Antagon Blog
https://antagonf.blogspot.com/2021/06/john-bocco-aweka-rekodi-ya-mabao.html
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/2021/06/john-bocco-aweka-rekodi-ya-mabao.html
true
8268252095325502418
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy