AZAM FC WAJANJA KWELI, KUTUMIA KUBANWA MBAVU KWA YANGA NA SIMBA
HomeMichezo

AZAM FC WAJANJA KWELI, KUTUMIA KUBANWA MBAVU KWA YANGA NA SIMBA

  VIVIER Bahati, kocha msaidizi wa Azam FC amesema kuwa kupitia makosa ambayo yanafanywa na wapinzani wao inazidi kuwaongezea nguvu ya ku...

 


VIVIER Bahati, kocha msaidizi wa Azam FC amesema kuwa kupitia makosa ambayo yanafanywa na wapinzani wao inazidi kuwaongezea nguvu ya kufanya vizuri kwenye mechi zao zilizobaki jambo litakalowarejesha kwenye kasi yao ya awali.

Azam FC ambayo ipo chini ya Kocha Mkuu, George Lwandamina ipo nafasi ya tatu kwenye msimamo imekusanya pointi 44 baada ya kucheza mechi 24.

Kinara Yanga mwenye pointi 50 aliyumba ndani ya mechi zake sita za mzunguko wa pili na alipoteza mchezo wa kwanza kwa kufungwa mabao 2-1 dhidi ya Coastal Union pale Mkwakwani, Tanga.

Simba ambao ni mabingwa watetezi wakiwa nafasi ya pili na pointi zao 46 baada ya kucheza mechi 20, Tanzania Prisons waliwapa tabu Uwanja wa Mkapa kwa kuwachezesha pira gwaride na kuwafanya wagawane pointi mojamoja kwenye sare ya kufungana bao 1-1.

Bahati amesema:"Kupitia makosa ya wapinzani wetu inazidi kutupa nguvu ya kufanya vizuri na ikiwa tutashinda mechi ambazo tutacheza basi tutarejea kwenye kasi yetu ile ambayo tulianza nayo.

"Ushindani ni mkubwa na kila mmoja anatambua kwamba kupata ushindi ni kitu cha msingi, mashabiki wazidi kutupa sapoti," .



Credit: SALEH JEMBE

Please subscribe to get all sports news instantly
Name

Afya,4,Ajira,2657,Audio,26,Biashara,2,Burudani,43,Economics,1,ELIMU,26,Gossip,38,Habari,3618,History,2,Kimataifa,202,kisiasa,13,Kiswahili,6,Kitaifa,147,Magazeti,44,Matokeo,3,Matukio,89,Michezo,2829,Muziki,62,Nairobi aiport,1,Ripoti,4,Tools,1,Top Stories,757,Video,47,Vituko,15,
ltr
item
Antagon Blog: AZAM FC WAJANJA KWELI, KUTUMIA KUBANWA MBAVU KWA YANGA NA SIMBA
AZAM FC WAJANJA KWELI, KUTUMIA KUBANWA MBAVU KWA YANGA NA SIMBA
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEiqhyphenhyphenUkY1H6K_rTCWd-qlW2vFBP50O87Ni7E8kdlhJS6676spefDqNVysnpkJQWAYDqqQhlklPmbLJISS68uFYPtTclhfXEpINg89_SLk6SlGwDFLDbbuvlOryhttEflTHyBXZOv8_85-yI/w612-h640/Chirwa+na+Manula.PNG
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEiqhyphenhyphenUkY1H6K_rTCWd-qlW2vFBP50O87Ni7E8kdlhJS6676spefDqNVysnpkJQWAYDqqQhlklPmbLJISS68uFYPtTclhfXEpINg89_SLk6SlGwDFLDbbuvlOryhttEflTHyBXZOv8_85-yI/s72-w612-c-h640/Chirwa+na+Manula.PNG
Antagon Blog
https://antagonf.blogspot.com/2021/03/azam-fc-wajanja-kweli-kutumia-kubanwa.html
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/2021/03/azam-fc-wajanja-kweli-kutumia-kubanwa.html
true
8268252095325502418
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy