MSHAMBULIAJI SIMBA AGOMEA OFA YA YANGA MAZIMA
HomeMichezo

MSHAMBULIAJI SIMBA AGOMEA OFA YA YANGA MAZIMA

  MUSSA Mgosi, mshambuliaji wa zamani wa kikosi cha Simba ameseka kuwa wakati akicheza soka la ushindani watani wa jadi Yanga walikuwa wa...

MBEYA CITY YAFUNGUKIA BAO LA KASEKE
GURDIOLA:SINA MTU MAALUMU WA KUPIGA PENALTI
MTUPIAJI NAMBA MOJA WA YANGA KASEKE ATAJA ANAOWEZA KUCHEZA NAO

 


MUSSA Mgosi, mshambuliaji wa zamani wa kikosi cha Simba ameseka kuwa wakati akicheza soka la ushindani watani wa jadi Yanga walikuwa wakimfuata mara nyingi ili wapate saini yake ila aligoma kwa kuwa alikuwa anaogopa kuonekana msaliti.

Mgosi kwa sasa ametundika daluga akiwa ni Kocha Mkuu wa timu ya Simba Queens inayoshiriki Ligi ya Wanawake Tanzania.

Akizungumza na Saleh Jembe, Mgosi amesema kuwa kutokana na uwezo wake ndani ya uwanja ilikuwa ni rahisi kwake kupendwa na timu kubwa ila hakuwa tayari kwenda kucheza Yanga kwa kuhofia kuwa msaliti.

"Nilikuwa ninapenda kuwa ndani ya Simba kwa kuwa tulikuwa tunaishi kwa upendo na ushirikiano mkubwa. Kuna wakati mambo yalikuwa magumu ila tulipita kipindi hicho cha mpito hapo nikapata somo kwamba umoja ni nguvu.

"Kweli wakati ninacheza Simba mabosi wa Yanga walikuwa wanahitaji saini yangu, nilikataa kucheza huko haina maana kwamba sio timu nzuri hapana bali niliogopa kuonekana msaliti.

"Maisha yangu ya soka na msingi mkubwa ulijwengwa nikiwa ndani ya Simba hivyo sikuwa tayari kuvunja ule msingi ambao nimetengenezewa kwa muda mrefu," amesema.



Credit: SALEH JEMBE

Please subscribe to get all sports news instantly
Name

Afya,4,Ajira,2657,Audio,26,Biashara,2,Burudani,43,Economics,1,ELIMU,26,Gossip,38,Habari,3618,History,2,Kimataifa,202,kisiasa,13,Kiswahili,6,Kitaifa,147,Magazeti,44,Matokeo,3,Matukio,89,Michezo,2829,Muziki,62,Nairobi aiport,1,Ripoti,4,Tools,1,Top Stories,757,Video,47,Vituko,15,
ltr
item
Antagon Blog: MSHAMBULIAJI SIMBA AGOMEA OFA YA YANGA MAZIMA
MSHAMBULIAJI SIMBA AGOMEA OFA YA YANGA MAZIMA
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEgK0Sw0weQ1aoTY4edtrEWyHcxnfb4jPZImsLWhR73PO_3zbfla12vQ2mxqMay8ZibkonrfRtoLYjDvrR7DE4MoDku_OvNbmcUBtUC8q683mQeFAAn_voDSqROb6sTakpliBBoUVL8xSVwi/w640-h618/Mgosi.jpg
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEgK0Sw0weQ1aoTY4edtrEWyHcxnfb4jPZImsLWhR73PO_3zbfla12vQ2mxqMay8ZibkonrfRtoLYjDvrR7DE4MoDku_OvNbmcUBtUC8q683mQeFAAn_voDSqROb6sTakpliBBoUVL8xSVwi/s72-w640-c-h618/Mgosi.jpg
Antagon Blog
https://antagonf.blogspot.com/2021/03/mshambuliaji-simba-agomea-ofa-ya-yanga.html
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/2021/03/mshambuliaji-simba-agomea-ofa-ya-yanga.html
true
8268252095325502418
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy