WACHEZAJI SIMBA WAPUNGUA MOROCCO
HomeMichezo

WACHEZAJI SIMBA WAPUNGUA MOROCCO

  PATRICK Rweyemamu, meneja wa Simba amesema kuwa wanaendelea vema na kambi nchini Morocco huku changamoto kubwa ikiwa ni kupungua kwa wa...

TIGER WOODS APATA AJALI
SIMBA YATAJA SABABU YA KUITUNGUA AL AHLY YA MISRI
TUCHEL ASHANGAZWA NA UWEZO WA GIROUD

 


PATRICK Rweyemamu, meneja wa Simba amesema kuwa wanaendelea vema na kambi nchini Morocco huku changamoto kubwa ikiwa ni kupungua kwa wachezaji. 


Kupungua kwa idadi ya wachezaji hao inatokana na kuitwa kwao katika timu zao za taifa kwa ajili ya maandalizi ya mechi za kufuzu Kombe la Dunia.



Kwa Tanzania wachezaji walioitwa wanatakiwa kuripoti kambini mapema Agosti 24 kuanza maandalizi hayo chini ya Kim Poulsen ambaye ni Kocha Mkuu wa Tanzania.


Miongoni mwa nyota wa Simba ambao wameitwa katika timu ya taifa ya Tanzania ni Israel Mwenda, Aishi Manula, Mohamed Hussein,  Shomari Kapombe na John Bocco.


Rweyemamu amesema:"Maandalizi ya kambi yanakwenda vizuri na kila kitu kipo sawa hasa kwa wachezaji kufuata kile ambacho wanaambiwa na kuendelea zaidi na mazoezi. 


"Changamoto kubwa kwa sasa ni kupungua kwa kikosi kwani kuna wachezaji ambao wanakwenda kuripoti katika timu zao za taifa.  Tunajua kwamba Simba ina wachezaji ambao wameitwa katika timu zao za taifa ikiwa ni pamoja na Uganda, Kenya hivyo hiyo changamoto tunakwenda nayo sawa ili tujue inakuaje.


"Mechi yetu dhidi ya FAR Rabat ilikuwa ni kwa ajili ya ufundi zaidi kwa kuwa wachezaji walikuwa wanatazamwa kile ambacho wamepewa na haikuwa mbele ya mashabiki zaidi ilikuwa ni mechi ya ndani," .



Credit: SALEH JEMBE

Please subscribe to get all sports news instantly
Name

Afya,4,Ajira,2657,Audio,26,Biashara,2,Burudani,43,Economics,1,ELIMU,26,Gossip,38,Habari,3618,History,2,Kimataifa,202,kisiasa,13,Kiswahili,6,Kitaifa,147,Magazeti,44,Matokeo,3,Matukio,89,Michezo,2829,Muziki,62,Nairobi aiport,1,Ripoti,4,Tools,1,Top Stories,757,Video,47,Vituko,15,
ltr
item
Antagon Blog: WACHEZAJI SIMBA WAPUNGUA MOROCCO
WACHEZAJI SIMBA WAPUNGUA MOROCCO
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEjVIBXfC29DKGJK9-OPPwf0yN1tjlV99CwOYnoZNgZ3kAzzXEsmadcf3n3UeXIQvvqRMGoi0fY7ml1IL3L5ZOLpBWyY_JVnSy2DpJQNzr8aXiLTNXiR6buTc8t71CY-NpOIgT_yagqX5Kyk/w640-h430/Screenshot_20210823-084856_Instagram.jpg
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEjVIBXfC29DKGJK9-OPPwf0yN1tjlV99CwOYnoZNgZ3kAzzXEsmadcf3n3UeXIQvvqRMGoi0fY7ml1IL3L5ZOLpBWyY_JVnSy2DpJQNzr8aXiLTNXiR6buTc8t71CY-NpOIgT_yagqX5Kyk/s72-w640-c-h430/Screenshot_20210823-084856_Instagram.jpg
Antagon Blog
https://antagonf.blogspot.com/2021/08/wachezaji-simba-wapungua-morocco.html
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/2021/08/wachezaji-simba-wapungua-morocco.html
true
8268252095325502418
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy