SIMBA YATAJA SABABU YA KUITUNGUA AL AHLY YA MISRI
HomeMichezo

SIMBA YATAJA SABABU YA KUITUNGUA AL AHLY YA MISRI

 DIDIER Gomes, Kocha Mkuu wa Simba amesema kuwa jana Febrari 23 walistahili kushinda kwa kuwa walijipanga vizuri jambo ambalo limewapa mat...


 DIDIER Gomes, Kocha Mkuu wa Simba amesema kuwa jana Febrari 23 walistahili kushinda kwa kuwa walijipanga vizuri jambo ambalo limewapa matokeo chanya.

Wakiwa Uwanja wa Mkapa mashabiki wa Simba wainyanyuka kwenye viti dakika ya 30 kushangilia bao lililopachikwa na Luis Miquissone kwa shuti kali akiwa nje ya 18.

Bao hilo alifunga kwa pasi ya kiungo Clatous Chama iliwafanya Al Ahly wasiamini wanachokiona kwa kuwa Simba waliweza kulinda bao hilo kwa muda wa dakika 60.

Ushindi huo unaifanya Simba kuwa nafasi ya kwanza kwenye kundi A ikiwa na pointi 6 inafuatiwa na Vita Club ambayo jana ilishinda mabao 4-1 dhidi ya Al Merreikh ambayo ipo nafasi ya nne ikiwa haina pointi.

Al Ahly ipo nafasi ya tatu ikiwa sawa pointi na AS Vita wakiwa tofauti kwenye idadi ya mabao ya kufunga na kufungana ndani ya uwanja.

Gomes amesema:"Tulistahili kushinda kwa kuwa wachezaji walikuwa tayari na walionyesha hilo ndani ya uwanja. Kwa namna yoyote ile wanastahili pongezi na kazi bado inaendelea," . 



Credit: SALEH JEMBE

Please subscribe to get all sports news instantly
Name

Afya,4,Ajira,2657,Audio,26,Biashara,2,Burudani,43,Economics,1,ELIMU,26,Gossip,38,Habari,3618,History,2,Kimataifa,202,kisiasa,13,Kiswahili,6,Kitaifa,147,Magazeti,44,Matokeo,3,Matukio,89,Michezo,2829,Muziki,62,Nairobi aiport,1,Ripoti,4,Tools,1,Top Stories,757,Video,47,Vituko,15,
ltr
item
Antagon Blog: SIMBA YATAJA SABABU YA KUITUNGUA AL AHLY YA MISRI
SIMBA YATAJA SABABU YA KUITUNGUA AL AHLY YA MISRI
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEj4K709KKpua_UQ6cix5V0fQcTRKrgbq-GL9VsX_JprwH30Sks403Sx2HKHcUtTIYmEAVFO0cmJ7K6gwe0KJzTjyK_6V2NC_OW68caQWQDGwT5I1IPJ_zyyzKv6Zo7ffZ69OxZSEIPvZOe0/w640-h508/Luis+Kimataifa.JPG
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEj4K709KKpua_UQ6cix5V0fQcTRKrgbq-GL9VsX_JprwH30Sks403Sx2HKHcUtTIYmEAVFO0cmJ7K6gwe0KJzTjyK_6V2NC_OW68caQWQDGwT5I1IPJ_zyyzKv6Zo7ffZ69OxZSEIPvZOe0/s72-w640-c-h508/Luis+Kimataifa.JPG
Antagon Blog
https://antagonf.blogspot.com/2021/02/simba-yataja-sababu-ya-kuitungua-al.html
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/2021/02/simba-yataja-sababu-ya-kuitungua-al.html
true
8268252095325502418
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy