TUCHEL ASHANGAZWA NA UWEZO WA GIROUD
HomeMichezo

TUCHEL ASHANGAZWA NA UWEZO WA GIROUD

KOCHA Mkuu wa Chelsea, Thomas Tuchel amesema kuwa nyota wake Olivier Giroud alimshangaza kwenye mchezo wao wa Ligi ya Mabingwa Ulaya baada...

VIDEO: MECKY MAXIME ATAKA KUWATENGENEZA AKINA CHAMA WATANZANIA
VIDEO: YANGA: TUTAWAFUNGA SIMBA, CHAMA, LUIS HAWAWEZI KUCHEZA MBELE YA NINJA
WANAWEZA WAKAAMUA MATOKEO YA MECHI

KOCHA Mkuu wa Chelsea, Thomas Tuchel amesema kuwa nyota wake Olivier Giroud alimshangaza kwenye mchezo wao wa Ligi ya Mabingwa Ulaya baada ya kufunga bao aina ya acrobatic.

Bao hilo la Giroud  mwenye umri wa miaka 34 alipachika dakika ya 68 mbele ya Atletico Madrid ikiwa ni hatua ya 16 ndani ya uwanja wa taifa wa Arena linawapa nafasi ya kuweza kusonga mbele ikiwa watashinda ama sare ya kufungana bao 1-1 kwenye mchezo wa marudio.

Tuchel amesema kuwa hakutarajia kumuona nyota huyo akifanya hivyo licha ya kukukubali uwezo wake akiwa ndani ya uwanja kwa kuwa amekuwa akifanya vizuri kila anapopata nafasi.

Naye Giroud amesema kuwa hajui ni namna gani aliweza kufunga bao hilo la ushindi ila anachotambua yeye ni kwamba timu yake imeshinda jambo ambalo linampa furaha yeye pamoja na wachezaji kiujumla.

"Sijui kwangu ilikuaje na namna gani niliweza kufunga ndani ya uwanja ila kwa kuwa imeshatokea kwangu ni furaha na ni wakati wetu wa kupambana kwa ajili ya mechi zijazo na tuna amini tutafanya vizuri kwenye mchezo wetu wa marudio,".

Tuchel amesema:-"Ukimuona ndani ya uwanja na namna ambavyo anajifunza kila siku lazima ushangae ila kwa namna ambavyo alifunga bao mimi mwenyewe nimeshangaa unaweza ukasema ni kijana mwenye miaka 24 kumbe ana miaka 34.

"Hatukuwa kwenye wakati mzuri kwa kuwa tumetengeneza nafasi ambazo hatukuzitumia ila kwa kuwa tumeshinda itatuongezea nguvu kwenye mechi ya marudio,".



Credit: SALEH JEMBE

Please subscribe to get all sports news instantly
Name

Afya,4,Ajira,2657,Audio,26,Biashara,2,Burudani,43,Economics,1,ELIMU,26,Gossip,38,Habari,3618,History,2,Kimataifa,202,kisiasa,13,Kiswahili,6,Kitaifa,147,Magazeti,44,Matokeo,3,Matukio,89,Michezo,2829,Muziki,62,Nairobi aiport,1,Ripoti,4,Tools,1,Top Stories,757,Video,47,Vituko,15,
ltr
item
Antagon Blog: TUCHEL ASHANGAZWA NA UWEZO WA GIROUD
TUCHEL ASHANGAZWA NA UWEZO WA GIROUD
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEgAr0kltXtEpsYtwOpSsb4l8wWMHFdl7isPwZ8s6Q3acgdmPJH8xvjB7tNC-CHNo68sWKerXA3cbs9meSBF5Un2QpHuGbHLDnH4PnGLcBd_DfULjwNyLBstvI6KrRWZqAPLD74q3mXAw-8W/w640-h434/Giroud+Acrobatic.jpg
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEgAr0kltXtEpsYtwOpSsb4l8wWMHFdl7isPwZ8s6Q3acgdmPJH8xvjB7tNC-CHNo68sWKerXA3cbs9meSBF5Un2QpHuGbHLDnH4PnGLcBd_DfULjwNyLBstvI6KrRWZqAPLD74q3mXAw-8W/s72-w640-c-h434/Giroud+Acrobatic.jpg
Antagon Blog
https://antagonf.blogspot.com/2021/02/tuchel-ashangazwa-na-uwezo-wa-giroud.html
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/2021/02/tuchel-ashangazwa-na-uwezo-wa-giroud.html
true
8268252095325502418
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy