Azam Kucheza Ugenini Mwezi Mzima
HomeMichezoKitaifa

Azam Kucheza Ugenini Mwezi Mzima

KLABU ya Azam itakuwa nje ya uwanja wake wa nyumbani ‘Azam Complex’ kwa takribani mwezi mmoja ikicheza mechi za ugenini. Akizungumza na g...

KLABU ya Azam itakuwa nje ya uwanja wake wa nyumbani ‘Azam Complex’ kwa takribani mwezi mmoja ikicheza mechi za ugenini. Akizungumza na gazeti hili jana msemaji wa Azam, Jaffa Idd alisema mchezo wa mwisho kwa Azam kucheza nyumbani ni ule dhidi ya Mwadui Februari 7 ambapo ilishinda bao 1-0.

“Timu itakuwa ugenini kucheza mechi tano, kati ya hizo nne ni za Ligi Kuu Tanzania Bara na mmoja wa kombe la Shirikisho dhidi ya Panone FC ya mkoani Kilimanjaro,” alisema Idd.

Azam FC ilianza kucheza mchezo wa kwanza ugenini dhidi ya Coastal Union ya Tanga jana katika Uwanja wa Mkwakwani Tanga kisha itakwenda Mbeya kucheza na Mbeya City, Februari 20 na itasalia hapo kucheza na Prisons Februari 24.

Baada ya kumaliza kibarua chake hicho, itaelekea moja kwa moja Moshi, Kilimanjaro kumenyana na Panone katika mchezo wa raundi ya 16 bora ya michuano ya Kombe la Shirikisho utakaofanyika Uwanja wa Ushirika Februari 28, 2016.

Baada ya kurejea Dar es Salaam itapumzika kwa siku sita na Machi 5, itashuka kwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam kuvaana na wenyeji wao, Yanga mchezo ambao ni kiporo.
Name

Afya,4,Ajira,2657,Audio,26,Biashara,2,Burudani,43,Economics,1,ELIMU,26,Gossip,38,Habari,3618,History,2,Kimataifa,202,kisiasa,13,Kiswahili,6,Kitaifa,147,Magazeti,44,Matokeo,3,Matukio,89,Michezo,2829,Muziki,62,Nairobi aiport,1,Ripoti,4,Tools,1,Top Stories,757,Video,47,Vituko,15,
ltr
item
Antagon Blog: Azam Kucheza Ugenini Mwezi Mzima
Azam Kucheza Ugenini Mwezi Mzima
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEhWSjaIGWmyKBC_j_pykNTEzWvs9qI23FZLtXp_odsOwv2cRCheqmV_lzolqIXszvZ8SW9SwKNEemT0QYVTY9MsJnqVMl66u4JSCAyILp3nAAhZ3AE-s12zYe5pW_wDmFiGQ9bOq5UGT0FK/s320/jafar-idd-maganga_210_120.jpg
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEhWSjaIGWmyKBC_j_pykNTEzWvs9qI23FZLtXp_odsOwv2cRCheqmV_lzolqIXszvZ8SW9SwKNEemT0QYVTY9MsJnqVMl66u4JSCAyILp3nAAhZ3AE-s12zYe5pW_wDmFiGQ9bOq5UGT0FK/s72-c/jafar-idd-maganga_210_120.jpg
Antagon Blog
https://antagonf.blogspot.com/2016/02/azam-kucheza-ugenini-mwezi-mzima.html
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/2016/02/azam-kucheza-ugenini-mwezi-mzima.html
true
8268252095325502418
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy