NYOTA 9 wa Simba inayonolewa na Kocha Mkuu, Didier Gomes wapo kikaangoni ili kuweza kujua hatma yao kwa msimu wa 2021/22 kutokana na rekod...
NYOTA 9 wa Simba inayonolewa na Kocha Mkuu, Didier Gomes wapo kikaangoni ili kuweza kujua hatma yao kwa msimu wa 2021/22 kutokana na rekodi zao kuonyesha kwamba wamecheza mechi chache ndani ya kikosi hicho ambacho kimeweka kambi nchini Morocco kwa ajili ya msimu ujao.
Miongoni mwa nyota ambao walicheza mechi chache kati ya 34 ni pamoja na kiungo Ibrahim Ajibu, Said Ndemla, Miraj Athuman.
Credit: SALEH JEMBE
Please subscribe to get all sports news instantly
COMMENTS