MZEE WA KUCHETUA BERNARD MORRISON AANDALIWA ULINZI
HomeMichezo

MZEE WA KUCHETUA BERNARD MORRISON AANDALIWA ULINZI

 WAPINZANI wa Simba katika mchezo wa ligi ya Mabingwa Afrika Jwaneng Galaxy kutoka Botswana ni kama wameanza kuingiwa na mchecheto baada y...


 WAPINZANI wa Simba katika mchezo wa ligi ya Mabingwa Afrika Jwaneng Galaxy kutoka Botswana ni kama wameanza kuingiwa na mchecheto baada ya kocha wao mkuu Morena Ramoreboli kumtaja winga wa Simba Bernard Morrison kama mmoja wa wachezaji hatari wa timu hiyo na anatakiwa kuchungwa sana.

Jwaneng Galaxy wakiwa nyumbani kwao nchini Botswana wanatarajiwa kucheza na Simba katika mchezo wa kwanza wa raundi ya kwanza ya kufuzu hatua ya makundi ya michuano hiyo katika mchezo utakaofanyika Octoba 17, katika uwanja wa timu ya taifa ya Botswana.


Kocha Morena alisema kuwa kikosi cha Simba kimesheheni wachezaji wazuri huku akimtaja winga Bernard Morrison kuwa ndiye mchezaji tishio ambaye aliwahi kumshudia wakati akiwa anakipiga katika Klabu ya Orlando Pirates ya nchini Afrika Kusini jambo ambalo anaamini wachezaji wake wanatakiwa kuwa makini na winga huyo.

“Licha ya ubora wa Simba kama timu lakini ina wachezaji wengi wazuri mmoja namfahamu vyema ni Bernard Morrison kwa kuwa nilimshuhudia akiwa katika klabu ya Orlando Pirates ya nchini Afrika Kusini.


 


“Ni mchezaji mzuri na mwenye kasi ambaye anahitaji ulinzi mzuri ili asilete madhara, kwa upande wetu tunafahamu kuwa tunaenda kucheza na timu bora hivyo tutahitaji kuonyesha ubora wetu dhidi yao ili tushinde mchezo tukiwa nyumbani,”alisema kocha huyo.



Credit: SALEH JEMBE

Please subscribe to get all sports news instantly
Name

Afya,4,Ajira,2657,Audio,26,Biashara,2,Burudani,43,Economics,1,ELIMU,26,Gossip,38,Habari,3618,History,2,Kimataifa,202,kisiasa,13,Kiswahili,6,Kitaifa,147,Magazeti,44,Matokeo,3,Matukio,89,Michezo,2829,Muziki,62,Nairobi aiport,1,Ripoti,4,Tools,1,Top Stories,757,Video,47,Vituko,15,
ltr
item
Antagon Blog: MZEE WA KUCHETUA BERNARD MORRISON AANDALIWA ULINZI
MZEE WA KUCHETUA BERNARD MORRISON AANDALIWA ULINZI
https://blogger.googleusercontent.com/img/a/AVvXsEhM8Pa9Z0hO7Gu2G5CPI0vKzczz-4RIahOrIuL3xPnVTUzk6xwG0dWNrkntbx2UxYVkVuwQ2CTBwfgzxMSlLFVAnxU26wO5Olt2IvV-8kCDWfC17a92J7-g4DNH544GnUStZuocSvNZtqFy9iMp7bIjW4dgiGE8pNUFoG81-rrym26VmZgW2zaIgitXeQ=w640-h426
https://blogger.googleusercontent.com/img/a/AVvXsEhM8Pa9Z0hO7Gu2G5CPI0vKzczz-4RIahOrIuL3xPnVTUzk6xwG0dWNrkntbx2UxYVkVuwQ2CTBwfgzxMSlLFVAnxU26wO5Olt2IvV-8kCDWfC17a92J7-g4DNH544GnUStZuocSvNZtqFy9iMp7bIjW4dgiGE8pNUFoG81-rrym26VmZgW2zaIgitXeQ=s72-w640-c-h426
Antagon Blog
https://antagonf.blogspot.com/2021/10/mzee-wa-kuchetua-bernard-morrison.html
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/2021/10/mzee-wa-kuchetua-bernard-morrison.html
true
8268252095325502418
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy