RONALDO AFIKISHA JUMLA YA HAT TRICK 58
HomeMichezo

RONALDO AFIKISHA JUMLA YA HAT TRICK 58

MSHAMBULIAJI wa timu ya taifa ya Ureno,   Cristiano Ronaldo ameweka rekodi ya kufunga jumla ya hat trick 58 katika maisha yake ya mpira ba...

BREAKING; RASMI TANZANIA KUTOA TIMU NNE CAF
YANGA YAMALIZANA NA MASHINE HII YA KAZI
MTAMBO WA MABAO AZAM FC WAREJEA KAZINI

MSHAMBULIAJI wa timu ya taifa ya Ureno,  Cristiano Ronaldo ameweka rekodi ya kufunga jumla ya hat trick 58 katika maisha yake ya mpira baada ya kutupia kwenye mchezo wa kuwania kufuzu Kombe la Dunia mbele ya Luxembourg.

 Kwenye mchezo huo wa kuwania kufuzu Kombe la Dunia ikiwa ni kundi A, ubao wa Uwanja wa Algarve ulisoma Ureno 5-0 Luxembourg na kufanya Ureno kufikisha jumla ya pointi 16 ikiwa nafasi ya pili na vinara wa kundi hilo ni Serbia wenye pointi 17.

Ronaldo alitupia mabao mawili kwa penalti ambapo ilikuwa ni dakika ya 8 na 13 na lile la kukamilisha hat trick ilikuwa ni dakika ya 87 akilipachika kwa kichwa na yale mengine mawili yalitupiwa na Bruno Fernandes dakika ya 17 na Joao Palhinha dakika ya 69. 

Kwenye mchezo huo Ureno walipiga jumla ya mashuti 21 na ni mashuti 11 yalilenga lango huku wapinzani wao wakipiga mashuti matatu pekee na ni mashuti mawili yaliweza kulenga lango ila hayakubadilika kuwa bao.



Credit: SALEH JEMBE

Please subscribe to get all sports news instantly
Name

Afya,4,Ajira,2657,Audio,26,Biashara,2,Burudani,43,Economics,1,ELIMU,26,Gossip,38,Habari,3618,History,2,Kimataifa,202,kisiasa,13,Kiswahili,6,Kitaifa,147,Magazeti,44,Matokeo,3,Matukio,89,Michezo,2829,Muziki,62,Nairobi aiport,1,Ripoti,4,Tools,1,Top Stories,757,Video,47,Vituko,15,
ltr
item
Antagon Blog: RONALDO AFIKISHA JUMLA YA HAT TRICK 58
RONALDO AFIKISHA JUMLA YA HAT TRICK 58
https://blogger.googleusercontent.com/img/a/AVvXsEgDJuLsklvKbDoY97mJylf2UsEi_2d_vT6tPRFMjZBu6TYRieVtNew27xM2vUgjqDAg2TeF6K5YSyxM_8EQPsVwzQpWl389v75a6gFVmlsrthqqgVMUC4VU16TlMGei5YZYMlx5XcIFlcpVeBsZV6RpelJzz0yvoeLg9cZKUdwJX_s0J1epWkgbnnZRVQ=w640-h360
https://blogger.googleusercontent.com/img/a/AVvXsEgDJuLsklvKbDoY97mJylf2UsEi_2d_vT6tPRFMjZBu6TYRieVtNew27xM2vUgjqDAg2TeF6K5YSyxM_8EQPsVwzQpWl389v75a6gFVmlsrthqqgVMUC4VU16TlMGei5YZYMlx5XcIFlcpVeBsZV6RpelJzz0yvoeLg9cZKUdwJX_s0J1epWkgbnnZRVQ=s72-w640-c-h360
Antagon Blog
https://antagonf.blogspot.com/2021/10/ronaldo-afikisha-jumla-ya-hat-trick-58.html
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/2021/10/ronaldo-afikisha-jumla-ya-hat-trick-58.html
true
8268252095325502418
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy