HAJI Mboto shabiki wa Yanga amesema kuwa Haji Manara ambaye alikuwa ni Ofisa Habari wa Simba anataka kuelezea namna Simba ilivyokuwa inashin...
HAJI Mboto shabiki wa Yanga amesema kuwa Haji Manara ambaye alikuwa ni Ofisa Habari wa Simba anataka kuelezea namna Simba ilivyokuwa inashinda na ana maelezo kwa namna ambavyo viongozi walikuwa wanafanya ili kushinda hivyo akibanwa ataeleza. Kuhusu usajili amesema kuwa wachezaji ni wazuri ambao wamesajiliwa na Yanga.
Credit: SALEH JEMBE
Please subscribe to get all sports news instantly
Credit: SALEH JEMBE
Please subscribe to get all sports news instantly
COMMENTS