ENGLAND KUCHEZA FAINALI LEO, MALKIA ATUMA UJUMBE
HomeMichezo

ENGLAND KUCHEZA FAINALI LEO, MALKIA ATUMA UJUMBE

  KIKOSI cha Kocha Gareth Southgate cha England kimepokea ujumbe kutoka kwa Malkia Elizabeth II kabla ya Fainali ya Euro 2020 dhidi ya It...

SIMBA YALIA NA ISHU YA VIWANJA KUSHINDWA KUWA RAFIKI KWAO
SIMULIZI YA ALIYEKUWA ANASUMBULIWA NA NDOTO MBAYA USIKU
VIDEO:GOMES APIGA HESABU KUHUSU WAPINZANI WAKE,MASHABIKI WAMZUNGUKA



 

England wamefika Fainali ya Euro kwa mara ya kwanza, wakati miaka 55 imepita tangu kuingia katika fainali ya mashindano makubwa baada ya kufanya hivyo walivyotwaa Kombe la Dunia mwaka 1966 .

 

Malkia Elizabeth II alihudhuria siku hiyo, wakati England ikiifunga Ujerumani Magharibi mabao 4-2 kwenye Fainali ya Kombe la Dunia ya 1966.

 

Katika mkutano wake na waandishi wa habari kabla ya mechi, Southgate amesema; “Tumepokea barua ya kututakia kila la heri kutoka kwa Malkia na Waziri Mkuu kwenda kwa timu nzima na kutambuliwa kwa wachezaji na wafanyakazi wote.

 

“Tulikuwa na mapokezi mazuri tukiondoka uwanja wa mazoezi wa St George na vijiji vyote vilijipanga njiani. Unapata hisia zaidi ya kile kinachoendelea nje ya kambi yetu.

 

“Tumefika fainali na tuko hapa kushinda. Ni muhimu jinsi tunavyowakilisha watu na urithi huo upo, lakini tunataka kuleta kombe nyumbani kwa kila mtu.”

 



Credit: SALEH JEMBE

Please subscribe to get all sports news instantly
Name

Afya,4,Ajira,2657,Audio,26,Biashara,2,Burudani,43,Economics,1,ELIMU,26,Gossip,38,Habari,3618,History,2,Kimataifa,202,kisiasa,13,Kiswahili,6,Kitaifa,147,Magazeti,44,Matokeo,3,Matukio,89,Michezo,2829,Muziki,62,Nairobi aiport,1,Ripoti,4,Tools,1,Top Stories,757,Video,47,Vituko,15,
ltr
item
Antagon Blog: ENGLAND KUCHEZA FAINALI LEO, MALKIA ATUMA UJUMBE
ENGLAND KUCHEZA FAINALI LEO, MALKIA ATUMA UJUMBE
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEiG-iShFxI_T3xUkhVmgr36FpBnFTvXtfIFdg2_d0fPdpNgSwibwtb4vL5O2X3fyiYM5rplU8hl8MMfnAfw2z91PqYR02kB4ou4q2xTLrLvPjzoDcuGI9DfEYKFxZxrQUKb4uQ8sI0WWkZY/w640-h360/Eliza+bana.jpg
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEiG-iShFxI_T3xUkhVmgr36FpBnFTvXtfIFdg2_d0fPdpNgSwibwtb4vL5O2X3fyiYM5rplU8hl8MMfnAfw2z91PqYR02kB4ou4q2xTLrLvPjzoDcuGI9DfEYKFxZxrQUKb4uQ8sI0WWkZY/s72-w640-c-h360/Eliza+bana.jpg
Antagon Blog
https://antagonf.blogspot.com/2021/07/england-kucheza-fainali-leo-malkia.html
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/2021/07/england-kucheza-fainali-leo-malkia.html
true
8268252095325502418
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy