SHABIKI wa Yanga ameweka wazi kwamba Haji Manara ambaye alikuwa ni Ofisa Habari wa Simba yeye ni mali ya Yanga hivyo anakaribishwa ndani ya ...
SHABIKI wa Yanga ameweka wazi kwamba Haji Manara ambaye alikuwa ni Ofisa Habari wa Simba yeye ni mali ya Yanga hivyo anakaribishwa ndani ya kikosi hicho.
Credit: SALEH JEMBE
Please subscribe to get all sports news instantly
Pia ameweka wazi kuwa kwa usajili ambao wameufanya kwa sasa wanaweza kufanya vizuri zaidi huku akibainisha kwamba nyota wa Simba Peter Banda ni mtoto na Onyango ana miaka 27 ya Kenya.
Credit: SALEH JEMBE
Please subscribe to get all sports news instantly
COMMENTS