HWANG HEE-CHAN ACHEKEKEA KUPACHEKA NA NYAVU PREMIER LEAGUE
HomeMichezo

HWANG HEE-CHAN ACHEKEKEA KUPACHEKA NA NYAVU PREMIER LEAGUE

  NYOTA mpya wa Wolves Hwang Hee-chan ambaye yupo hapo kwa mkopo baada ya kujiunga na timu hiyo inayoshiriki Ligi Kuu England akitokea Kl...

RUVU SHOOTING YAZIPIGIA HESABU POINTI TATU ZA DODOMA JIJI
AZAM FC KAMILI GADO, YAZITAKA POINTI TATU ZA KAGERA SUGAR
WATANO WA YANGA KUIKOSA COASTAL UNION MKWAKWANI

 


NYOTA mpya wa Wolves Hwang Hee-chan ambaye yupo hapo kwa mkopo baada ya kujiunga na timu hiyo inayoshiriki Ligi Kuu England akitokea Klabu ya Leipzig amesema kuwa ni furaha kwake kuingia katika orodha ya watupiaji ndani ya kikosi hicho.


Alitupia kwa mara ya kwanza akiwa na Wolves,  Septemba 11 katika mchezo wa Ligi Kuu England na ubao wa Uwanja wa Vicarage Road ulisoma Watford 0-2 Wolves. 

Ilikuwa dakika ya 74 Francisco Sierralta alijifunga na ninja Hwang Hee-chan alipachika bao la pili dakika ya 83 na anakuwa ni mchezaji wa kwanza ndani ya Wolves kupachika bao kwa msimu wa 2021/22 ndani ya Ligi Kuu England. 

"Ni heshima kwangu kufunga bao katika majukumu yangu hasahasa katika Premier League.  Ilikuwa ni ndoto yangu kuja hapa tangu nikiwa mdogo. Nina furaha kubwa sana na kiukweli ninawakubali watu ambao wamenisaidia mimi kufika hapa ikiwa ni pamoja na familia,".

Leo Wolves ina kazi ya kufanya mbele ya Tottenham Hotspur kusaka ushindi katika mchezo wa Carabao utakaopigwa Uwanja wa Molineux.



Credit: SALEH JEMBE

Please subscribe to get all sports news instantly
Name

Afya,4,Ajira,2657,Audio,26,Biashara,2,Burudani,43,Economics,1,ELIMU,26,Gossip,38,Habari,3618,History,2,Kimataifa,202,kisiasa,13,Kiswahili,6,Kitaifa,147,Magazeti,44,Matokeo,3,Matukio,89,Michezo,2829,Muziki,62,Nairobi aiport,1,Ripoti,4,Tools,1,Top Stories,757,Video,47,Vituko,15,
ltr
item
Antagon Blog: HWANG HEE-CHAN ACHEKEKEA KUPACHEKA NA NYAVU PREMIER LEAGUE
HWANG HEE-CHAN ACHEKEKEA KUPACHEKA NA NYAVU PREMIER LEAGUE
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEg8nHcY4e2mWSGLITh_FuFR5kYup5OJ2aIEy1aSQFpRLtJUqPxedYbzTdjHCraeP8d6lNPMhQgM3lqnaddKBLU7tgfGz2e011ZfB9vhyphenhyphenOXgAbHmPi77uBSZ8S83d8s0AtY9TN924g80g8vF/w640-h360/Hwang.jpg
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEg8nHcY4e2mWSGLITh_FuFR5kYup5OJ2aIEy1aSQFpRLtJUqPxedYbzTdjHCraeP8d6lNPMhQgM3lqnaddKBLU7tgfGz2e011ZfB9vhyphenhyphenOXgAbHmPi77uBSZ8S83d8s0AtY9TN924g80g8vF/s72-w640-c-h360/Hwang.jpg
Antagon Blog
https://antagonf.blogspot.com/2021/09/hwang-hee-chan-achekekea-kupacheka-na.html
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/2021/09/hwang-hee-chan-achekekea-kupacheka-na.html
true
8268252095325502418
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy