SIMBA YAFUNGUKIA SUALA LA ZAHERA KUWA KWENYE BENCHI LA UFUNDI
HomeMichezo

SIMBA YAFUNGUKIA SUALA LA ZAHERA KUWA KWENYE BENCHI LA UFUNDI

 UONGOZI wa Simba umesema kuwa hauna mpango wa kumpa dili Mkurugenzi wa Ufundi wa Gwambina FC, Mwinyi Zahera ndani ya kikosi hicho. Imeku...


 UONGOZI wa Simba umesema kuwa hauna mpango wa kumpa dili Mkurugenzi wa Ufundi wa Gwambina FC, Mwinyi Zahera ndani ya kikosi hicho.

Imekuwa ikielezwa kuwa mabosi wa Simba wapo kwenye mpango wa mwisho wa kumalizana na Zahera ambaye aliwahi kuwa kocha ndani ya Yanga kabla ya kuchimbishwa mwanzoni mwa msimu wa 2019/20.

Kwa sasa Zahera ni mwajiliwa ndani ya Klabu ya Gwambina FC inayoshiriki Ligi Kuu Bara akiwa ni Mkurugenzi wa Benchi la Ufundi na alipewa dili la mwaka mmoja.

Mtendaji Mkuu wa Simba, Barbara Gonzalez amesema kuwa hawana mpango wa kumpa kazi Zahera kwa wakati wa sasa.

"Kuhusu huyo Zahera mimi simjui na tayari tumeshatangaza benchi letu la ufundi ikiwa ni pamoja na kocha mkuu na kocha wa makipa, ipo nafasi nyingine ambayo tutaitangaza hivi karibuni,".

Simba imemtambulisha Milton Nienov raia wa Brazil kuwa kocha wa makipa na Didier Gomes raia wa Ufarasa kuwa Kocha Mkuu wa timu hiyo inayoshiriki Ligi ya Mabingwa Afrika ikiwa hatua ya makundi na Ligi Kuu Bara pamoja na Kombe la Shirikisho wakiwa ni mabingwa watetezi.



Credit: SALEH JEMBE

Please subscribe to get all sports news instantly
Name

Afya,4,Ajira,2657,Audio,26,Biashara,2,Burudani,43,Economics,1,ELIMU,26,Gossip,38,Habari,3618,History,2,Kimataifa,202,kisiasa,13,Kiswahili,6,Kitaifa,147,Magazeti,44,Matokeo,3,Matukio,89,Michezo,2829,Muziki,62,Nairobi aiport,1,Ripoti,4,Tools,1,Top Stories,757,Video,47,Vituko,15,
ltr
item
Antagon Blog: SIMBA YAFUNGUKIA SUALA LA ZAHERA KUWA KWENYE BENCHI LA UFUNDI
SIMBA YAFUNGUKIA SUALA LA ZAHERA KUWA KWENYE BENCHI LA UFUNDI
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEhXp96emVvEOr3xUemlrVexvyBHIN57h8LEqWDCQczwyd2dF0nWY5b4-cVT5_6zXMh-_yKFxhhSCcKhot2Ar7cRoO8voB3-uIXodL9MwgU1HHd8zwf3buk3TodE6t6nqxC_s_sIg-z-MeCw/w640-h426/Zahera+tena.jpg
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEhXp96emVvEOr3xUemlrVexvyBHIN57h8LEqWDCQczwyd2dF0nWY5b4-cVT5_6zXMh-_yKFxhhSCcKhot2Ar7cRoO8voB3-uIXodL9MwgU1HHd8zwf3buk3TodE6t6nqxC_s_sIg-z-MeCw/s72-w640-c-h426/Zahera+tena.jpg
Antagon Blog
https://antagonf.blogspot.com/2021/01/simba-yafungukia-suala-la-zahera-kuwa.html
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/2021/01/simba-yafungukia-suala-la-zahera-kuwa.html
true
8268252095325502418
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy