USAJILI kwa timu mbili za Tanzania ambazo zina ushindani mkubwa, Simba na Yanga unaongeza vita kubwa kwenye upande wa viungo. Feisal Salum, ...
USAJILI kwa timu mbili za Tanzania ambazo zina ushindani mkubwa, Simba na Yanga unaongeza vita kubwa kwenye upande wa viungo. Feisal Salum, Mukoko Tonombe hawa wapo Yanga na watakuwa na kazi ya kukutana na Jonas Mkude, Peter Banda na Taddeo Lwanga. Ligi 2021/22 si mchezo.
Credit: SALEH JEMBE
Please subscribe to get all sports news instantly
Credit: SALEH JEMBE
Please subscribe to get all sports news instantly
COMMENTS