SIMBA YALIVALIA NJUNGA SUALA LA SENZO NA AL AHLY
HomeMichezo

SIMBA YALIVALIA NJUNGA SUALA LA SENZO NA AL AHLY

 UONGOZI wa Simba umesema kuwa jambo ambalo amefanya Senzo Mbatha la kukutana na Kocha Mkuu wa Al Ahly, Pitso Mosimane sio la kiungwana...

YANGA KUPELEKWA FIFA NA SIBOMANA,KISA MKWANJA
MUONEKANO WA UKURASA WA MBELE GAZETI LA SPOTI XTRA JUMAPILI
MTAMBO WA MABAO NDANI YA SIMBA WAINGIA ANGA ZA NORWAY

 UONGOZI wa Simba umesema kuwa jambo ambalo amefanya Senzo Mbatha la kukutana na Kocha Mkuu wa Al Ahly, Pitso Mosimane sio la kiungwana na hakupaswa kufanya hivyo.

Usiku wa Februari 22, picha za Mbatha ambaye alikuwa Mtendaji Mkuu ndani ya Simba,(CEO) kabla ya kubwaga manyanga na sasa yupo ndani ya Yanga akiwa ni Mshauri Mkuu wa Masuala ya Mabadiliko  zilisambaa akiwa na Mosimane siku moja kabla ya kuvaana na Simba kwenye mchezo wa Ligi ya Mabingwa hatua ya Makundi.

Mchezo huo ambao ulichezwa jana, Februari 23, Simba ilishinda bao 1-0 kupitia kwa Luis Miquissone ambaye aliitendea haki pasi ya Clatous Chama.

Ofisa Habari wa Simba, Haji Manara akizungumza na +255Global Radio amesema kuwa kwa mtu muungwana hakupaswa kufanya hivyo kwa kuwa Simba inapambana kwa ajili ya taifa la Tanzania.

"Naskia watu wanasema kwamba alikuwa amekwenda kukutana na Msauzi mwenzake (kwa kuwa Senzo na Misomane ni raia wa Afrika Kusini), ila ninaamini kwamba sio sawa.

"Inaelezwa alianza kusema kwamba alitaka kuonana naye siku ya Ijumaa ila akakwama na kuamua kuchagua Jumatatu, hapana kwa nini iwe siku moja kabla ya mechi?

"Ingekuwa yupo ndani ya Simba angeweza kufanya hivyo? Sisi huwa tunaonana nao kwa mujibu wa taratibu kwa kuwa kuna muda wa kufanya vikao vile kabla ya mechi hapo tunaongea na kubadilishana mawazo kwa kuwa mpira sio vita.

"Kikubwa ninawaambia mashabiki wawe na subira unapozungumza kuhusu Simba unazungumzia taasisi kubwa yeye watu wengi, sasa tunafanya vitu vyetu kwa umakini mkubwa," amesema.



Credit: SALEH JEMBE

Please subscribe to get all sports news instantly
Name

Afya,4,Ajira,2657,Audio,26,Biashara,2,Burudani,43,Economics,1,ELIMU,26,Gossip,38,Habari,3618,History,2,Kimataifa,202,kisiasa,13,Kiswahili,6,Kitaifa,147,Magazeti,44,Matokeo,3,Matukio,89,Michezo,2829,Muziki,62,Nairobi aiport,1,Ripoti,4,Tools,1,Top Stories,757,Video,47,Vituko,15,
ltr
item
Antagon Blog: SIMBA YALIVALIA NJUNGA SUALA LA SENZO NA AL AHLY
SIMBA YALIVALIA NJUNGA SUALA LA SENZO NA AL AHLY
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEgi3O8XZrxzP24J1w0DQUlipVTkrqknnGQ1i-EePzdVdxEgSBicQgQbL5UDcO6JeqKb_du3R55wRAXFxARFj7DtuIg9nTb11DKSrW33iUALehF7d1Yt_oQexfjKImKfx8L8RDg74LfcQNDu/w606-h640/Senzo+bosi.PNG
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEgi3O8XZrxzP24J1w0DQUlipVTkrqknnGQ1i-EePzdVdxEgSBicQgQbL5UDcO6JeqKb_du3R55wRAXFxARFj7DtuIg9nTb11DKSrW33iUALehF7d1Yt_oQexfjKImKfx8L8RDg74LfcQNDu/s72-w606-c-h640/Senzo+bosi.PNG
Antagon Blog
https://antagonf.blogspot.com/2021/02/simba-yalivalia-njunga-suala-la-senzo.html
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/2021/02/simba-yalivalia-njunga-suala-la-senzo.html
true
8268252095325502418
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy