ARSENAL KUCHEZA NA LIVERPOOL LEO JUMAMOSI UWANJA WA EMIRATE STADIUM
HomeMichezo

ARSENAL KUCHEZA NA LIVERPOOL LEO JUMAMOSI UWANJA WA EMIRATE STADIUM

Msimu huu wa pasaka kunogeshwa zaidi na Meridianbet . Kwa kupitia tovuti ya www.meridianbet.co.tz au kwa kupiga *149*10#, unaweza kut...

SIMULIZI YA JAMAA ALIYESAIDIWA KUBWA BINGWA KWENYE UJUZI WAKE ASILIA
EXCLUSIVE: VIDEO:MASAU BWIRE ATUPA DONGO KIMTINDO YANGA KISA UBINGWA,KUIPA SAPOTI SIMBA
RONALDO ANAVUNJA REKODI KIBABE TU



Msimu huu wa pasaka kunogeshwa zaidi na Meridianbet. Kwa kupitia tovuti ya www.meridianbet.co.tz au kwa kupiga *149*10#, unaweza kutengeneza faida kubwa kwenye michezo ya wikiendi hii.

 


Kwenye Ligue 1 wikiendi hii, PSG kuvaana na Lille. Msimu huu kule Ufaransa mambo ni moto, tofauti ya magoli 15 ndio inazitofautisha timu hizi katika nafasi ya kwanza na pili. Sio kesi, Meridianbet tumekupatia Odds ya 1.73 kwa PSG Jumamosi hii.

 


Tuondoke Ufaransa na tutue pale Emirate Stadium, Arsenal kuwaalika Liverpool Jumamosi hii. Timu zote zinapambana kuingia kwenye nafasi 4 za juu kunako msimamo wa EPL, lakini ni nani atazimaliza dakika 90 kibingwa? Meridianbet tumekusogezea Odds ya 2.35 kwa Liverpool.



Jumapili hii wakati ukiwa unaifurahia Pasaka, Aston Villa atakuwa pale Villa Park akichuana na Fulham. Huu ni mchezo mwingine unaoweza kukuongezea furaha kwenye pasaka yako. Kupitia Odds ya 2.40 kwenye Meridianbet, unaweza kuongeza tabasamu usoni pako.

 



Pale Estadio Martinez Valero, Elche uso kwa uso dhidi ya Real Betis. Pointi 2 tu ndizo zinazowapa Elche matumaini ya kusalia ligi kuu – LaLiga msimu ujao. Japokuwa, matokeo ya ushindi ndio kitu wanahitaji kwenye mchezo huu. Unaweza kuifuata Odds ya 1.90 kwa Betis.

 


Jumatatu ya Pasaka itapendezeshwa kwa mchezo wa Everton vs Crystal Palace. Timu zote zilianza msimu kwa morali lakini zinaonekana kupungua kasi kuelekea mwisho wa msimu. Ifuate Odds ya 1.85 kwa Everton ukiwa na Meridianbet.

 


Wolves kuwaalika West Ham United pale Molineux Stadium. Vijana wa David Moyes wanajambo lao msimu huu, kucheza Mashindano ya Ulaya msimu ujao, ndio lengo lao kuu. Meridianbet tumekuwekea Odds ya 2.70 kwa West Ham United Jumatatu hii.


Meridianbet, Nyumba yenye Odds Bora na Bonasi Kubwa!





Credit: SALEH JEMBE

Please subscribe to get all sports news instantly
Name

Afya,4,Ajira,2657,Audio,26,Biashara,2,Burudani,43,Economics,1,ELIMU,26,Gossip,38,Habari,3618,History,2,Kimataifa,202,kisiasa,13,Kiswahili,6,Kitaifa,147,Magazeti,44,Matokeo,3,Matukio,89,Michezo,2829,Muziki,62,Nairobi aiport,1,Ripoti,4,Tools,1,Top Stories,757,Video,47,Vituko,15,
ltr
item
Antagon Blog: ARSENAL KUCHEZA NA LIVERPOOL LEO JUMAMOSI UWANJA WA EMIRATE STADIUM
ARSENAL KUCHEZA NA LIVERPOOL LEO JUMAMOSI UWANJA WA EMIRATE STADIUM
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEgWHWlV81zfyUEO_MrAVUWv7_Uy5ux7UtOjTlgxq1kcH0sKsXk9gLLXd-7CWgILgU_W9IxqG81EDY6MoaspSBkNEkge3jxVRSQ2GMVTCQ4hAKrwz5ifXozsdpwtBIYF7cpnGGbjchQNfNTT/s16000/GettyImages-1179074528.jpg
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEgWHWlV81zfyUEO_MrAVUWv7_Uy5ux7UtOjTlgxq1kcH0sKsXk9gLLXd-7CWgILgU_W9IxqG81EDY6MoaspSBkNEkge3jxVRSQ2GMVTCQ4hAKrwz5ifXozsdpwtBIYF7cpnGGbjchQNfNTT/s72-c/GettyImages-1179074528.jpg
Antagon Blog
https://antagonf.blogspot.com/2021/04/arsenal-kucheza-na-liverpool-leo.html
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/2021/04/arsenal-kucheza-na-liverpool-leo.html
true
8268252095325502418
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy