MABEKI YANGA WAKINGIWA KIFUA,SABABU YA KUFUNGWA YATAJWA
HomeMichezo

MABEKI YANGA WAKINGIWA KIFUA,SABABU YA KUFUNGWA YATAJWA

  CEDRIC Kaze, Kocha Mkuu wa Yanga amesema kuwa safu yake ya ulinzi ipo imara licha ya kuruhusu mabao kwenye mechi zao za Ligi Kuu Bara nd...

HESABU ZA UBINGWA ZIMEKAMILIKA YANGA
CHIKWENDE, MORRISON WAMTISHA LWANDAMINA AZAM
GOMES KATIKA MTIHANI MGUMU SIMBA

 CEDRIC Kaze, Kocha Mkuu wa Yanga amesema kuwa safu yake ya ulinzi ipo imara licha ya kuruhusu mabao kwenye mechi zao za Ligi Kuu Bara ndani ya uwanja kwani hilo amegundua linasabishwa na wachezaji wa mbele.

Safu ya ulinzi ya Yanga inaongozwa na Lamine Moro na Bakari Mwamnyeto ambao wameokota nyavuni jumla ya mabao 11 katika mechi 21 ambazo wamecheza.


Mchezo wao dhidi ya Kagera Sugar ulikusanya mabao mengi ya kufungwa ambayo ni matatu kwa kuwa awali mechi zote walizofungwa ilikuwa ni mwendo wa kufungwa bao mojamoja.


Kaze amesema:-“Wachezaji wangu sanasana wa mbele wamekuwa wakiruhusu mipira kiurahisi na kushindwa kuizuia mipira hasa tunapokuwa ndani ya uwanja.


“Makosa yetu huwa yanakuwa hasa kipindi cha kwanza, ule uwezo wa kuzuia mipira kati umekuwa ukipungua jambo ambalo limekuwa likiwaruhusu wapinzani wetu kupenya kwenye ngome yetu hivyo hilo tunalifanyia kazi na tunaamini tutakuwa imara,".


Yanga ipo nafasi ya kwanza kwenye msimamo wa ligi ikiwa imekusanya jumla ya pointi 49.



Credit: SALEH JEMBE

Please subscribe to get all sports news instantly
Name

Afya,4,Ajira,2657,Audio,26,Biashara,2,Burudani,43,Economics,1,ELIMU,26,Gossip,38,Habari,3618,History,2,Kimataifa,202,kisiasa,13,Kiswahili,6,Kitaifa,147,Magazeti,44,Matokeo,3,Matukio,89,Michezo,2829,Muziki,62,Nairobi aiport,1,Ripoti,4,Tools,1,Top Stories,757,Video,47,Vituko,15,
ltr
item
Antagon Blog: MABEKI YANGA WAKINGIWA KIFUA,SABABU YA KUFUNGWA YATAJWA
MABEKI YANGA WAKINGIWA KIFUA,SABABU YA KUFUNGWA YATAJWA
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEimHbKnNs-zWdIz5HqCEqMu-_URO2wfiHKV_2RyE-snDiAPN8Rcz3DlDwkPbNnL-EdSVg7X1_-GhZEUMKTbzXmPjgWfmhHYrM6Gr6OqtdLPPB6mvhjtWznWhIjoAJ-iAFdvvp535_06RIWm/w640-h512/Mwamnyeto+Yanga.PNG
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEimHbKnNs-zWdIz5HqCEqMu-_URO2wfiHKV_2RyE-snDiAPN8Rcz3DlDwkPbNnL-EdSVg7X1_-GhZEUMKTbzXmPjgWfmhHYrM6Gr6OqtdLPPB6mvhjtWznWhIjoAJ-iAFdvvp535_06RIWm/s72-w640-c-h512/Mwamnyeto+Yanga.PNG
Antagon Blog
https://antagonf.blogspot.com/2021/02/mabeki-yanga-wakingiwa-kifuasababu-ya.html
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/2021/02/mabeki-yanga-wakingiwa-kifuasababu-ya.html
true
8268252095325502418
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy