MASHABIKI wa Yanga wamebainisha kuwa wameungana kufanya hamasa kwa mashabiki ikiwa ni pamoja na wale wa Simba ili kuweza kujitokeza kwa wing...
MASHABIKI wa Yanga wamebainisha kuwa wameungana kufanya hamasa kwa mashabiki ikiwa ni pamoja na wale wa Simba ili kuweza kujitokeza kwa wingi kesho na wasione tabu wavae uzi wa Yanga kwenye kilele cha Wiki ya Mwananchi ambapo Yanga itacheza na Zanaco.
Credit: SALEH JEMBE
Please subscribe to get all sports news instantly
Credit: SALEH JEMBE
Please subscribe to get all sports news instantly
COMMENTS