MOHAMED SALAH AFUNGA BONGE MOJA YA BAO
HomeMichezo

MOHAMED SALAH AFUNGA BONGE MOJA YA BAO

  LICHA ya miamba miwili Liverpool na Manchester City ambao ni mabingwa watetezi wa Ligi Kuu England kugawana pointi mojamoja kwa kufungan...


 
LICHA ya miamba miwili Liverpool na Manchester City ambao ni mabingwa watetezi wa Ligi Kuu England kugawana pointi mojamoja kwa kufungana mabao 2-2, Mohamed Salah mshambuliaji wa Liverpool alifunga bonge moja ya bao.


Wakati ubao wa Uwanja wa Anfield ukisoma Liverpool 2-2 Manchester City ni raia wawili wa Afrika waliwatungua mabingwa watetezi ambapo alianza Sadio Mane raia wa Senegal kuwatungua dakika ya 59 kisha Salah raia wa Misri aliwatungua bao moja matata sana dakika ya 76.

Yale ya City inayonolewa na Kocha Mkuu, Pep Guardiola yalipachikwa na  Phil Foden dakika ya 69 na Kelvin De Bruyne dakika ya 81 kwa shuti kali akiwa nje ya 18 lililomfanya Guardiola akatulia kwa kuwa hakuwa na furaha muda wote kwa kuamini kuwa timu yake ilikuwa inaonewa.


Salah alifunga bao hilo bora kwa kupita katikati ya msitu wa mabeki wanne wa City na kuingia na mali ndani ya 18 kisha akachagua eneo gumu kupiga na ngumu kudakwa na kipa kisha likazama mazima nyavuni na katika mchezo huo nyota huyo alikuwa ni staa wa mchezo.

Guardiola amesema kuwa hamna namna matokeo hayawezi kubadilika kwa kuwa kilichotokea kimeshatokea ndani ya uwanja.

Kwa upande wa Kocha Mkuu wa Liverpool, Jurgen Klopp amesema kuwa alikasirishwa na namna wachezaji wake walivyocheza hovyo kipindi cha kwanza na hakutarajia matokeo ya aina ile na amefurahishwa na bao la Salah kwa kuwa ni bao bora.



Credit: SALEH JEMBE

Please subscribe to get all sports news instantly
Name

Afya,4,Ajira,2657,Audio,26,Biashara,2,Burudani,43,Economics,1,ELIMU,26,Gossip,38,Habari,3618,History,2,Kimataifa,202,kisiasa,13,Kiswahili,6,Kitaifa,147,Magazeti,44,Matokeo,3,Matukio,89,Michezo,2829,Muziki,62,Nairobi aiport,1,Ripoti,4,Tools,1,Top Stories,757,Video,47,Vituko,15,
ltr
item
Antagon Blog: MOHAMED SALAH AFUNGA BONGE MOJA YA BAO
MOHAMED SALAH AFUNGA BONGE MOJA YA BAO
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEjf-M7gUlaX-knpZRQn9-1ef634Ihl3qKVKws2WujY7cJw79lg3FDKyi0JulhiG9DP7FiTBo6OXxnT6yQu_JVOUQKC56sjxjwuxI2lEac-EROmX_bjOpywb-SzYDgqmfcSpfLwrUj56QOAN/w640-h360/Salah+v+City.jpg
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEjf-M7gUlaX-knpZRQn9-1ef634Ihl3qKVKws2WujY7cJw79lg3FDKyi0JulhiG9DP7FiTBo6OXxnT6yQu_JVOUQKC56sjxjwuxI2lEac-EROmX_bjOpywb-SzYDgqmfcSpfLwrUj56QOAN/s72-w640-c-h360/Salah+v+City.jpg
Antagon Blog
https://antagonf.blogspot.com/2021/10/mohamed-salah-afunga-bonge-moja-ya-bao.html
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/2021/10/mohamed-salah-afunga-bonge-moja-ya-bao.html
true
8268252095325502418
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy