MABAO YA CHAMA NA KAGERE SAWA NA YALE YA MWADUI, LEO KAZI IPO

 CLATOUS Chama, mwamba wa Lusaka ambaye ametupia mabao 7 pamoja na Meddie Kagere mwenye mabao 11, idadi ya mabao ambayo wamefunga ni sawa ...


 CLATOUS Chama, mwamba wa Lusaka ambaye ametupia mabao 7 pamoja na Meddie Kagere mwenye mabao 11, idadi ya mabao ambayo wamefunga ni sawa na yale ambayo yamefungwa na wapinzani wao Mwadui FC.


 Jumla ya mabao ya nyota hao wawili ni 18 wakiwa wamecheza jumla ya mechi 21 huku safu ya ushambuliaji ya Mwadui FC ikiwa imefunga mabao 18 baada ya kucheza jumla ya mabao 25.

Leo, Uwanja wa Kambarage, Shinyanga kwenye mchezo wa Ligi Kuu Bara ambao utakuwa ni mzunguko wa pili kwa sababu walikutana Uwanja wa Uhuru na ubao ulisoma Simba 5-0 Mwadui FC, timu zote mbili zitakuwa na kazi ya kusaka pointi tatu.

Utakuwa ni mchezo wa ushindani ndani ya dakika 90 kwa kuwa Mwadui FC inapambana kujinasua kwenye hatari ya kushuka daraja ikiwa nafasi ya 18 na pointi 16 huku Simba ikipambana kutetea taji la ligi, ina pointi 49 ipo nafasi ya tatu.

Kocha Mkuu wa Simba, Dider Gomes amesema kuwa kikubwa ambacho anahitaji kwenye mechi zake zote ni pointi tatu muhimu.



Credit: SALEH JEMBE

Please subscribe to get all sports news instantly

COMMENTS

BLOGGER
Name

Afya,4,Ajira,2657,Audio,26,Biashara,2,Burudani,43,Economics,1,ELIMU,26,Gossip,38,Habari,3442,History,2,Kimataifa,202,kisiasa,13,Kiswahili,6,Kitaifa,147,Magazeti,44,Matokeo,3,Matukio,89,Michezo,2829,Muziki,62,Nairobi aiport,1,Ripoti,4,Tools,1,Top Stories,581,Video,47,Vituko,15,
ltr
item
Antagon Blog: MABAO YA CHAMA NA KAGERE SAWA NA YALE YA MWADUI, LEO KAZI IPO
MABAO YA CHAMA NA KAGERE SAWA NA YALE YA MWADUI, LEO KAZI IPO
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEifZHJt-itSga6E_PVkgPVumpMn3tYhrlajPqz-4x4-UfGXPstIlZZw3U63ocsAeGLhKANtwDF_3gJz-VTswllnHLz7EIieMzvUf6WjLRXZE9meex41amXg02132F9o-TT3KWjJ8dtdE7YZ/w640-h426/Chama+kushangilia.jpg
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEifZHJt-itSga6E_PVkgPVumpMn3tYhrlajPqz-4x4-UfGXPstIlZZw3U63ocsAeGLhKANtwDF_3gJz-VTswllnHLz7EIieMzvUf6WjLRXZE9meex41amXg02132F9o-TT3KWjJ8dtdE7YZ/s72-w640-c-h426/Chama+kushangilia.jpg
Antagon Blog
https://antagonf.blogspot.com/2021/04/mabao-ya-chama-na-kagere-sawa-na-yale.html
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/2021/04/mabao-ya-chama-na-kagere-sawa-na-yale.html
true
8268252095325502418
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy