JUMA Abdul, nyota mpya wa Klabu ya DTB inayoshiriki Ligi Daraja la Kwanza kwa sasa inaitwa Championiship ameweka wazi kuwa alipata ofa za ti...
JUMA Abdul, nyota mpya wa Klabu ya DTB inayoshiriki Ligi Daraja la Kwanza kwa sasa inaitwa Championiship ameweka wazi kuwa alipata ofa za timu tatu za Ligi Kuu Bara ikiwa ni pamoja na Biashara United, Polisi Tanzania ila hizo zote zilimuomba asubiri kwanza jambo lililomfanya alipopata ofa kutoka DTB asihofie kusaini kwa kuwa yeye ni mchezaji na uwezo wake upo.
Credit: SALEH JEMBE
Please subscribe to get all sports news instantly
Credit: SALEH JEMBE
Please subscribe to get all sports news instantly
COMMENTS