KMC:TUTAYEYUSHA PIRA ICE CREAM LA AZAM FC
HomeMichezo

KMC:TUTAYEYUSHA PIRA ICE CREAM LA AZAM FC

UONGOZI wa KMC umeweka wazi kwamba utawafuata wapinzani wao Azam FC kwa lengo moja tu la kwenda kuyeyusha pira Ice Cream ambalo wanatamba ...


UONGOZI wa KMC umeweka wazi kwamba utawafuata wapinzani wao Azam FC kwa lengo moja tu la kwenda kuyeyusha pira Ice Cream ambalo wanatamba nalo kwa sasa.

KMC imetoka kulazimisha sare ya bila kufungana na Namungo FC kwenye mchezo wa ligi uliochezwa jana, Mei 9, Uwanja wa Majaliwa.

Akizungumza na Saleh Jembe, Ofisa Habari wa KMC, Christina Mwagala amesema kuwa tayari timu imerejea na kesho itaanza maandalizi kwa ajili ya mchezo wao wa ligi dhidi ya Azam FC.

"Tumerejea salama leo kutoka Ruangwa, mkoani Lindi ambapo tulikuwa na mchezo dhidi ya Namungo.
Kupata sare ya bila kufungana kwetu sio mbaya licha ya kwamba tulikuwa tunahitaji ushindi.

"Kesho wachezaji wataanza kufanya maandalizi kwa ajili ya mchezo wetu dhidi ya Azam FC.
Mtakumbuka kwamba Azam FC ipo nafasi ya tatu na sisi tupo nafasi ya tano, tunafanya maandalizi kwenda kuyeyusha Ice Cream.

"Mchezo wa kwanza tulipokutana nao Uwanja wa Uhuru tulipata pointi tatu hivyo tunawaambia wapinzani wetu kwamba tumerudi na tupo imara," amesema.

Mchezo huo unatarajiwa kuchezwa Mei 15, Uwanja wa Azam Complex.


Credit: SALEH JEMBE

Please subscribe to get all sports news instantly
Name

Afya,4,Ajira,2657,Audio,26,Biashara,2,Burudani,43,Economics,1,ELIMU,26,Gossip,38,Habari,3618,History,2,Kimataifa,202,kisiasa,13,Kiswahili,6,Kitaifa,147,Magazeti,44,Matokeo,3,Matukio,89,Michezo,2829,Muziki,62,Nairobi aiport,1,Ripoti,4,Tools,1,Top Stories,757,Video,47,Vituko,15,
ltr
item
Antagon Blog: KMC:TUTAYEYUSHA PIRA ICE CREAM LA AZAM FC
KMC:TUTAYEYUSHA PIRA ICE CREAM LA AZAM FC
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEhtS3zYESMlOS6mrfciBMISZlT_-wpECmqzzC_81tifohLj8ydmrOKp65IFZjKze1aU7KrofBiMarn0oSVVnTX9v-OZfxUolE9BStwI0DyG-UQkpbZ8KCNL5-KRKrEy3Jmlaxy-6wp53FO2/w640-h568/KMC+Mwanza.PNG
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEhtS3zYESMlOS6mrfciBMISZlT_-wpECmqzzC_81tifohLj8ydmrOKp65IFZjKze1aU7KrofBiMarn0oSVVnTX9v-OZfxUolE9BStwI0DyG-UQkpbZ8KCNL5-KRKrEy3Jmlaxy-6wp53FO2/s72-w640-c-h568/KMC+Mwanza.PNG
Antagon Blog
https://antagonf.blogspot.com/2021/05/kmctutayeyusha-pira-ice-cream-la-azam-fc.html
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/2021/05/kmctutayeyusha-pira-ice-cream-la-azam-fc.html
true
8268252095325502418
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy