MRITHI WA ANTONIO NUGAZ KUTANGAZWA YANGA
HomeMichezo

MRITHI WA ANTONIO NUGAZ KUTANGAZWA YANGA

  B AADA ya  kuondolewa  Yanga Ofisa  Mhamasishaji,  Antonio Nugaz,  uongozi wa klabu hiyo  umefunguka kuwa  mrithi wa nafasi hiyo  atata...

 


BAADA ya kuondolewa Yanga Ofisa Mhamasishaji, Antonio Nugaz, uongozi wa klabu hiyo umefunguka kuwa mrithi wa nafasi hiyo atatangazwa hivi karibuni.


Yanga wamethibitisha kuachana na Nugaz katika nafasi ya Uhamasishaji baada ya dili lake la miaka miwili kuisha.


Kwa mujibu wa taarifa za ndani kutoka Yanga zinaeleza kuwa kilichomuondoa Nugaz ni mfumo wa mabadiliko unaoendelea ndani ya klabu, lakini pia kumalizika kwa mkataba.

 

“Kutokana na mchakato wa mfumo wa mabadiliko unaoendelea ndani ya klabu kwa sasa ndiyo uliopelekea kuondolewa kwa Nugaz ndani ya klabu hiyo kwa sasa.

 

Akizungumza na Championi Ijumaa, Makamu Mwenyekiti wa Yanga, Fredrick Mwakalebela alifunguka kuwa Mtendaji Mkuu wa Yanga ndiye mwenye dhamana ya kupanga majukumu.

 

“Nugaz ameondolewa baada ya mkataba wake ambao ulikuwa wa miaka miwili kumalizika lakini pia kwa sasa tupo kwenye mchakato wa mabadiliko ya klabu hivyo kuna baadhi ya nafasi kwenye klabu zitaondolewa na zingine zitaongezeka.

 

"Hii inatokana na rasimu ya mabadiliko ya klabu ambayo ilipitishwa na wanachama kwenye mkutano mkuu wa klabu ambao ulifanyika hivi karibuni kuonyesha kila kitu ambacho kinapaswa kuwepo kwenye klabu.

 

“Kuhusu nafasi ya Haji Manara ndani ya klabu itajulikana hivi karibuni kwani mwenye dhamana ya kumpangia nafasi ni bosi wake ambaye ni Mtendaji Mkuu wa klabu (CEO), Senzo Mazingisa,” alisema Mwakalebela.



Credit: SALEH JEMBE

Please subscribe to get all sports news instantly
Name

Afya,4,Ajira,2657,Audio,26,Biashara,2,Burudani,43,Economics,1,ELIMU,26,Gossip,38,Habari,3618,History,2,Kimataifa,202,kisiasa,13,Kiswahili,6,Kitaifa,147,Magazeti,44,Matokeo,3,Matukio,89,Michezo,2829,Muziki,62,Nairobi aiport,1,Ripoti,4,Tools,1,Top Stories,757,Video,47,Vituko,15,
ltr
item
Antagon Blog: MRITHI WA ANTONIO NUGAZ KUTANGAZWA YANGA
MRITHI WA ANTONIO NUGAZ KUTANGAZWA YANGA
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEjUAXBEdJDAXyPm3IGe-coYEqYtTxef1QVf_QbJsu3n-SmwJvqFFqRykVaBkQPQeJNXzo-Eo_1mzY4alBva3ICuDV9-8A9dLRyi_wkExWE45IFYDmdVXeFwmDfY_ZsbJBjgh54_FTnv5As5/w640-h568/Nugaz+tena.jpg
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEjUAXBEdJDAXyPm3IGe-coYEqYtTxef1QVf_QbJsu3n-SmwJvqFFqRykVaBkQPQeJNXzo-Eo_1mzY4alBva3ICuDV9-8A9dLRyi_wkExWE45IFYDmdVXeFwmDfY_ZsbJBjgh54_FTnv5As5/s72-w640-c-h568/Nugaz+tena.jpg
Antagon Blog
https://antagonf.blogspot.com/2021/09/mrithi-wa-antonio-nugaz-kutangazwa-yanga.html
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/2021/09/mrithi-wa-antonio-nugaz-kutangazwa-yanga.html
true
8268252095325502418
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy