METACHA MNATA KUPEWA MKATABA MPYA
HomeMichezo

METACHA MNATA KUPEWA MKATABA MPYA

  KIPA namba moja wa Yanga, Metacha Mnata inaelezwa kuwa anaandaliwa mkataba mpya ili aweze kusaini dili jipya. Nyota huyo hivi karibuni...

 


KIPA namba moja wa Yanga, Metacha Mnata inaelezwa kuwa anaandaliwa mkataba mpya ili aweze kusaini dili jipya.

Nyota huyo hivi karibuni ilielezwa kuwa anahitaji kusepa ndani ya Yanga kutokana na kutuhumiwa kwamba anacheza chini ya kiwango jambo ambalo lilimkasirisha nyota huyo.

Mechi ambayo ilileta utata ni ile ya sare ya kufungana bao 1-1 dhidi ya Polisi Tanzania ambapo ilikuwa ni Fiston Abdulazack alianza kufunga bao la Polisi Tanzania likafungwa dakika za lala salama na kuwafanya Yanga kugawana pointi mojamoja.

Suala hilo lilifanuliwa na Mwenyekiti wa Yanga, Mshindo Msolla kwamba hawakuwahi kumtisha hivyo yalikuwa ni maneno ambayo hayana ukweli.

"Mnata, (Metacha) kwa sasa anaweza kupewa mkataba mpya kwa kuwa hakuna tofauti ambazo zipo, ni kwamba mkataba wake upo ukingoni ila maboresho yatafanyika," ilieleza taarifa hiyo.



Credit: SALEH JEMBE

Please subscribe to get all sports news instantly
Name

Afya,4,Ajira,2657,Audio,26,Biashara,2,Burudani,43,Economics,1,ELIMU,26,Gossip,38,Habari,3618,History,2,Kimataifa,202,kisiasa,13,Kiswahili,6,Kitaifa,147,Magazeti,44,Matokeo,3,Matukio,89,Michezo,2829,Muziki,62,Nairobi aiport,1,Ripoti,4,Tools,1,Top Stories,757,Video,47,Vituko,15,
ltr
item
Antagon Blog: METACHA MNATA KUPEWA MKATABA MPYA
METACHA MNATA KUPEWA MKATABA MPYA
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEg0BlQtJC-2aqEyCo8E1oKze9QlskyX3uvbbL652056_v1CDncWUlScF34ucIKnXhMdjP0qCcTn005h6Ylx_sO8aFGm2dRf86S2S_JE0LZpT2jQmFSM6TgzivOYpRmP65A1JYVdq8wAJxy1/w640-h624/Screenshot_20210511-080107_Instagram.jpg
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEg0BlQtJC-2aqEyCo8E1oKze9QlskyX3uvbbL652056_v1CDncWUlScF34ucIKnXhMdjP0qCcTn005h6Ylx_sO8aFGm2dRf86S2S_JE0LZpT2jQmFSM6TgzivOYpRmP65A1JYVdq8wAJxy1/s72-w640-c-h624/Screenshot_20210511-080107_Instagram.jpg
Antagon Blog
https://antagonf.blogspot.com/2021/05/metacha-mnata-kupewa-mkataba-mpya.html
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/2021/05/metacha-mnata-kupewa-mkataba-mpya.html
true
8268252095325502418
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy