NYOTA WANNE WA SIMBA WAACHWA BONGO, MORRISON NAYE YUPO KWENYE ORODHA
HomeMichezo

NYOTA WANNE WA SIMBA WAACHWA BONGO, MORRISON NAYE YUPO KWENYE ORODHA

 NYOTA  wanne wa Simba wamebaki Bongo wakati timu hiyo ikikwea pipa kuelekea Afrika Kusini kwa ajili ya mchezo wa Ligi ya Mabingwa Afrika ...

MUONEKANO WA UKURASA UKURASA WA MBELE GAZETI LA CHAMPIONI JJUMATANO
HIKI HAPA KIKOSI BORA CHA MSIMU WA 2020/21
SIMBA YAIPOTEZA YANGA, AZAM FC KWENYE REKODI

 NYOTA  wanne wa Simba wamebaki Bongo wakati timu hiyo ikikwea pipa kuelekea Afrika Kusini kwa ajili ya mchezo wa Ligi ya Mabingwa Afrika unaotarajiwa kuchezwa Mei 15 dhidi ya Kaizer Chiefs.

Kikosi hicho kiliondoka leo alfajiri kuwafuata wapinzani hao kwenye mchezo wa kwanza wa robo fainali ya Mabingwa Afrika ambapo watapitia Kenya kisha wataunganisha safari yao kuelekea nchini Afrika Kusini.

Kwa mujibu wa Meneja wa Simba, Patrick Rweyemamu ni Perfect Chikwende, Said Ndemla na Miraj Athuman.


"Mwingine ni Morrison ambaye anamalizia taratibu zake, Inshallah Mungu akisaidia atajiunga na sisi kesho.

"Tunaenda na wachezaji 24, Morrison akijiunga na sisi atakuwa wa 25," .

Usajili wa Chikwende ambaye ni kiungo mshambuliajii aliyekuwa akicheza ndani ya Klabu ya FC Platinum ni maalumu kwa ajili ya mechi za Ligi Kuu Bara.




Credit: SALEH JEMBE

Please subscribe to get all sports news instantly
Name

Afya,4,Ajira,2657,Audio,26,Biashara,2,Burudani,43,Economics,1,ELIMU,26,Gossip,38,Habari,3618,History,2,Kimataifa,202,kisiasa,13,Kiswahili,6,Kitaifa,147,Magazeti,44,Matokeo,3,Matukio,89,Michezo,2829,Muziki,62,Nairobi aiport,1,Ripoti,4,Tools,1,Top Stories,757,Video,47,Vituko,15,
ltr
item
Antagon Blog: NYOTA WANNE WA SIMBA WAACHWA BONGO, MORRISON NAYE YUPO KWENYE ORODHA
NYOTA WANNE WA SIMBA WAACHWA BONGO, MORRISON NAYE YUPO KWENYE ORODHA
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEjIseFst7mh9Y4H_5r8xE_7OpMbCBbj6XOJh3_y_ihlAeLN6NORSnmRokC_CByawmhcdmPVNPvtj4Jdgbl25dF7BcE9nsDld_IEEPIl2Z_cG9v6gtspd0DJBueGrchgjbe7_A6JMDVvr-Cc/w640-h574/Ndemla+tena.jpg
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEjIseFst7mh9Y4H_5r8xE_7OpMbCBbj6XOJh3_y_ihlAeLN6NORSnmRokC_CByawmhcdmPVNPvtj4Jdgbl25dF7BcE9nsDld_IEEPIl2Z_cG9v6gtspd0DJBueGrchgjbe7_A6JMDVvr-Cc/s72-w640-c-h574/Ndemla+tena.jpg
Antagon Blog
https://antagonf.blogspot.com/2021/05/nyota-wanne-wa-simba-waachwa-bongo.html
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/2021/05/nyota-wanne-wa-simba-waachwa-bongo.html
true
8268252095325502418
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy