MUGALU ATAJWA NA BEKI MPYA WA SIMBA BAKA
HomeMichezo

MUGALU ATAJWA NA BEKI MPYA WA SIMBA BAKA

  BEKI mpya wa Simba, Henock Inonga Baka amesema kuwa Chris Mugalu ndiye mchezaji ambaye anampa ushirikiano mkubwa katika kuyazoea kwa har...

AFCON: Congo& Burkina Faso wasaka malazi
Van Gaal afyumu kisa kalinganishwa na Moyes
Falcao atoroka uwanjani

 BEKI mpya wa Simba, Henock Inonga Baka amesema kuwa Chris Mugalu ndiye mchezaji ambaye anampa ushirikiano mkubwa katika kuyazoea kwa haraka maisha yake ndani ya Simba.

 

Baka ambaye ni beki wa Kati, amesajiliwa na Simba akitokea katika Klabu ya DC Motema Pembe ya nchini DR Congo.

 

 Baka amesema kuwa Mugalu amekuwa akimpa ushirikiano mkubwa wa kuhakikisha kuwa anayazoea mazingira mapya ndani ya Simba pamoja na kumfundisha jinsi ya kuongea Kiswahili.

 

“Mimi na Mugalu ni marafiki tangia zamani, nimefurahi kumkuta hapa ndani ya Simba yeye ndiye anafundisha kila kitu kuhusu Simba na kuzungumza kiswahili hivyo nashukuru kwa hilo,".


Nyota huyo anatarajiwa kuwa katika maisha mapya ndani ya ardhi ya Tanzania kwa msimu mpya wa 2021/22 akiungana na nyota wengine kama Israel Mwenda pamoja Peter Banda ambao wamesajiliwa na timu hiyo.


Kazi kubwa ni kuweza kutetea mataji ambayo ilitwaa kwa msimu uliopita wa 2020/21 pamoja na kuweza kuweka rekodi ya kutinga hatua ya robo fainali Ligi ya Mabingwa Afrika.



 




Credit: SALEH JEMBE

Please subscribe to get all sports news instantly
Name

Afya,4,Ajira,2657,Audio,26,Biashara,2,Burudani,43,Economics,1,ELIMU,26,Gossip,38,Habari,3618,History,2,Kimataifa,202,kisiasa,13,Kiswahili,6,Kitaifa,147,Magazeti,44,Matokeo,3,Matukio,89,Michezo,2829,Muziki,62,Nairobi aiport,1,Ripoti,4,Tools,1,Top Stories,757,Video,47,Vituko,15,
ltr
item
Antagon Blog: MUGALU ATAJWA NA BEKI MPYA WA SIMBA BAKA
MUGALU ATAJWA NA BEKI MPYA WA SIMBA BAKA
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEhx42SDo2-0nIdj9qqWKYvdgDD68cW0PqDIesidlbRTvbLN3i-w_6PrymJFedVm6L1b9skR5-v4fZp1UTOJblAGuL2iRfqQDgJ_PnL1VDMH3sK6FM2SXtn0xO-6naG0wqWxjRmovuZrfyk7/w640-h476/Baka+Simba.jpg
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEhx42SDo2-0nIdj9qqWKYvdgDD68cW0PqDIesidlbRTvbLN3i-w_6PrymJFedVm6L1b9skR5-v4fZp1UTOJblAGuL2iRfqQDgJ_PnL1VDMH3sK6FM2SXtn0xO-6naG0wqWxjRmovuZrfyk7/s72-w640-c-h476/Baka+Simba.jpg
Antagon Blog
https://antagonf.blogspot.com/2021/08/mugalu-atajwa-na-beki-mpya-wa-simba-baka.html
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/2021/08/mugalu-atajwa-na-beki-mpya-wa-simba-baka.html
true
8268252095325502418
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy