Wamiliki Wa Kampuni Za Biashara Hapa Nchini Waaswa Kuutangaza Utalii Wa Tanzania
HomeHabari

Wamiliki Wa Kampuni Za Biashara Hapa Nchini Waaswa Kuutangaza Utalii Wa Tanzania

Naibu Waziri wa Maliasili na Utalii Mhe. Mary Masanja ametoa wito kwa Wafanyabiashara na wamiliki  wa Makampuni mbalimbali hapa nchini ku...


Naibu Waziri wa Maliasili na Utalii Mhe. Mary Masanja ametoa wito kwa Wafanyabiashara na wamiliki  wa Makampuni mbalimbali hapa nchini kuunga mkono juhudi za Serikali za kutangaza Utalii  na vivutio mbalimbali vilivyopo hapa nchini kupitia biashara zao.

Mhe. Mary Masaanaja ametoa wito huo Jijini Mwanza, wakati wa maonesho ya Biashara ,Uwekezaji na Utalii yanayowahusisha wadau mbalimbali.   Amesema wafanyabiasha ni wadau wakubwa wa utalii hivyo wana nafasi kubwa ya  kuutangaza utalii hatua itakayosaidia kuongeza idadi ya Watalii.

"Nawaomba sana ninyi wafanyabiashara,  kupitia makampuni yenu mtangaza Utalii wa Tanzania na vivutio vyake  ,ninyi ni wadau wakubwa wa utalii "amesema Mhe. Mary Masanja.

Amewaeleza  wafanyabiashara hao kuwa wanapaswa kutambua kuwa Sera ya Tanzania ya Viwanda itaendelea kutekelezwa kama ambavyo Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan amekua akiwasisitiza Watanzania  wawekeze katika miradi mbalimbali ya maendeleo "

Kwa upande wake Waziri wa Mifugo na Uvuvi Mhe. Mashimba Ndaki ambaye ndiye alikuwa mgeni rasmi katika tukio hilo amesema wafanyabiashara wakishirikiana vizuri wataweza kukuza uchumi wa nchi pia kuutangaza utalii.

Aidha, amesema Serikali inaendelea kuzifanyia kazi changamoto mbalimbali ikiwemo uondoaji wa  urasimu na ukiritimba kwa wawekezaji wanaotaka  kuwekeza hapa nchini.

"Serikali tunaendelea kuziondoa changamoto kuziondoa changamoto zote zinazolalamikiwa na wafanyabiasha na wawekezaji,tuvute subira kidogo haya mambo yatakwenda kurekebishwa vizuri "amesema Mhe. Mashimba

Hatahivyo, amezitaka Mamlaka za  Serikali za mitaa kutengeneza wafanyabiashara watakaolipa mapato kwa kuwapatia maeneo watakayo fanyia Biashara Ili waweze kulipa kodi na kukuza uchumi wa nchi .


Credit: MPEKUZI

Thanks for your time please share with your friends
Name

Afya,4,Ajira,2657,Audio,26,Biashara,2,Burudani,43,Economics,1,ELIMU,26,Gossip,38,Habari,3618,History,2,Kimataifa,202,kisiasa,13,Kiswahili,6,Kitaifa,147,Magazeti,44,Matokeo,3,Matukio,89,Michezo,2829,Muziki,62,Nairobi aiport,1,Ripoti,4,Tools,1,Top Stories,757,Video,47,Vituko,15,
ltr
item
Antagon Blog: Wamiliki Wa Kampuni Za Biashara Hapa Nchini Waaswa Kuutangaza Utalii Wa Tanzania
Wamiliki Wa Kampuni Za Biashara Hapa Nchini Waaswa Kuutangaza Utalii Wa Tanzania
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEgnChaQpE7ICnu5mVjN5IZGYLvdfTuEAGweUCPJJSnfMByXY6HwTX3xVofM3cLK8bysXkr-4xhQNisnrWagMEA6hTFGx4PlSDaKpMJc_M8mASKogvuuSbtn7J-R6SMmnVl9hIL8UdZpQe2G/s16000/1.jpg
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEgnChaQpE7ICnu5mVjN5IZGYLvdfTuEAGweUCPJJSnfMByXY6HwTX3xVofM3cLK8bysXkr-4xhQNisnrWagMEA6hTFGx4PlSDaKpMJc_M8mASKogvuuSbtn7J-R6SMmnVl9hIL8UdZpQe2G/s72-c/1.jpg
Antagon Blog
https://antagonf.blogspot.com/2021/05/wamiliki-wa-kampuni-za-biashara-hapa.html
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/2021/05/wamiliki-wa-kampuni-za-biashara-hapa.html
true
8268252095325502418
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy