ARSENAL YAINYOOSHA NEWCASTLE UNITED
HomeMichezo

ARSENAL YAINYOOSHA NEWCASTLE UNITED

  WAKATI Arsenal ikishinda mabao 2-0 dhidi ya Newcastle United,  Uwanja wa St James Park, Mohamed Elneny alifunga bao lake la kwanza nda...

SIMBA KUREJEA BONGO LEO, WAPANIA KUPINDUA MEZA
YANGA KUIFUATA JKT TANZANIA KWA TAHADHARI LEO
YANGA PRINCESS YAICHAPA MABAO 6-0 ALLIANCE GIRLS

 



WAKATI Arsenal ikishinda mabao 2-0 dhidi ya Newcastle United,  Uwanja wa St James Park, Mohamed Elneny alifunga bao lake la kwanza ndani ya Ligi Kuu England. 

Ilikuwa ni dakika ya sita nyota huyo alipachika bao hilo na kuwafanya Arsenal kuongoza mpaka muda wa mapumziko katika mchezo huo uliokuwa na ushindani mkubwa.

Bao la pili lilipachikwa na nahodha Pierre Emerick Aubameyang ambaye alipachika bao pili kipindi cha pili dakika ya 66.

Ushindi huo unaifanya  Arsenal kufikisha jumla ya pointi 49 ipo nafasi ya 34 na Newcastle United ipo nafasi ya 17 na pointi zake ni 36 kinara ni Manchester City ina pointi 80 ambaye anapewa nafasi za kutwaa taji hilo lililo mikononi mwa Liverpool.

Fabian Schar nyota wa Newcastel alionyeshwa kadi nyekundu dakika ya 90 katika mchezo huo.



Credit: SALEH JEMBE

Please subscribe to get all sports news instantly
Name

Afya,4,Ajira,2657,Audio,26,Biashara,2,Burudani,43,Economics,1,ELIMU,26,Gossip,38,Habari,3618,History,2,Kimataifa,202,kisiasa,13,Kiswahili,6,Kitaifa,147,Magazeti,44,Matokeo,3,Matukio,89,Michezo,2829,Muziki,62,Nairobi aiport,1,Ripoti,4,Tools,1,Top Stories,757,Video,47,Vituko,15,
ltr
item
Antagon Blog: ARSENAL YAINYOOSHA NEWCASTLE UNITED
ARSENAL YAINYOOSHA NEWCASTLE UNITED
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEhpgRPyISutl9KUeGv0tfMkGmM9qwxBLjVLhACoQO7LmU99CupqwoL6ImJRgKLl3i3wohoYSeTkZ4BnuOj5_O4GwtRyNmb7ObTcDNIROK1lrxwWNXPXAMEuQG8806y7lQNrJatfl38yY1Qf/w640-h426/Mohamed.jpg
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEhpgRPyISutl9KUeGv0tfMkGmM9qwxBLjVLhACoQO7LmU99CupqwoL6ImJRgKLl3i3wohoYSeTkZ4BnuOj5_O4GwtRyNmb7ObTcDNIROK1lrxwWNXPXAMEuQG8806y7lQNrJatfl38yY1Qf/s72-w640-c-h426/Mohamed.jpg
Antagon Blog
https://antagonf.blogspot.com/2021/05/arsenal-yainyoosha-newcastle-united.html
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/2021/05/arsenal-yainyoosha-newcastle-united.html
true
8268252095325502418
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy