GOMES AFURAHISHWA NA UWEZO WA WACHEZAJI WAKE
HomeMichezo

GOMES AFURAHISHWA NA UWEZO WA WACHEZAJI WAKE

 DIDIER Gomes, Kocha Mkuu wa Simba amesema kuwa maandalizi ya msimu ujao yanakwenda vizuri huku akifurahishwa na uwezo wa wachezaji ambao ...


 DIDIER Gomes, Kocha Mkuu wa Simba amesema kuwa maandalizi ya msimu ujao yanakwenda vizuri huku akifurahishwa na uwezo wa wachezaji ambao wanauonyesha.

Mchezo mmoja wa kirafiki Gomes aliwaongoza vijana yake ilikuwa kwenye mchezo dhidi ya FAR Rabat ya Morocco ambapo ulikamilika kwa sare ya kufungana mabao 2-2.

Baadhi ya wachezaji wa Simba wameondoka kambini na kujiunga na timu za taifa huku baadhi wakiendelea kuwa na kambi nchini Morocco na miongoni mwa nyota hao ni Ibrahim Ajibu, Gadiel Michael, Chris Mugalu, Ally Salim.

Raia huyo wa Ufaransa amesema:"Kila kitu kina kwenda sawa na maandalizi yapo vizuri jambo ambalo linaleta matumaini kwa ajili ya msimu mpya.

"Kila mchezaji anatimiza majukumu yake na hilo ni jambo la msingi hivyo imani yetu ni kuona kwamba tunakuwa na wakati mzuri kwa wakati ujao," .



Credit: SALEH JEMBE

Please subscribe to get all sports news instantly
Name

Afya,4,Ajira,2657,Audio,26,Biashara,2,Burudani,43,Economics,1,ELIMU,26,Gossip,38,Habari,3618,History,2,Kimataifa,202,kisiasa,13,Kiswahili,6,Kitaifa,147,Magazeti,44,Matokeo,3,Matukio,89,Michezo,2829,Muziki,62,Nairobi aiport,1,Ripoti,4,Tools,1,Top Stories,757,Video,47,Vituko,15,
ltr
item
Antagon Blog: GOMES AFURAHISHWA NA UWEZO WA WACHEZAJI WAKE
GOMES AFURAHISHWA NA UWEZO WA WACHEZAJI WAKE
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEgFDlnsP1SqCEgqvYABpinokSqlkyhc45OJtcjxxI4_aSBJBT3_qP0Ds1Vu22tqNSWsuha7CZn1aHgiHSrLJ8vTxnD9bjouNrZSaqKDXzJazqD67qAgRnvjfsG4-VSRy3ho2HisY10DIBla/w512-h640/240382449_103068005439858_1205881991521755527_n.jpg
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEgFDlnsP1SqCEgqvYABpinokSqlkyhc45OJtcjxxI4_aSBJBT3_qP0Ds1Vu22tqNSWsuha7CZn1aHgiHSrLJ8vTxnD9bjouNrZSaqKDXzJazqD67qAgRnvjfsG4-VSRy3ho2HisY10DIBla/s72-w512-c-h640/240382449_103068005439858_1205881991521755527_n.jpg
Antagon Blog
https://antagonf.blogspot.com/2021/08/gomes-afurahishwa-na-uwezo-wa-wachezaji.html
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/2021/08/gomes-afurahishwa-na-uwezo-wa-wachezaji.html
true
8268252095325502418
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy