Korea Kaskazini yafanya jaribio la makombora chini ya usimamizi wa Kim
HomeHabari

Korea Kaskazini yafanya jaribio la makombora chini ya usimamizi wa Kim

Korea Kaskazini imefanya jaribio jingine la aina mpya ya makombora katika tukio ambalo limeshuhudiwa na kiongozi wa taifa hilo, Kim Jong ...

Israel yawaachia huru wafungwa 90 wa Palestina
Habari kubwa za Magazeti ya Tanzania leo January 20, 2024
Habari kubwa za Magazeti ya Tanzania leo January 19, 2024


Korea Kaskazini imefanya jaribio jingine la aina mpya ya makombora katika tukio ambalo limeshuhudiwa na kiongozi wa taifa hilo, Kim Jong Un, usiku wa kuamkia leo. 

Taarifa hizo ni kwa mujibu wa shirika la habari la Korea Kaskazini ambalo limezitaja silaha hizo mpya kuwa za kisasa na zinazoongeza uwezo wa nchi hiyo katika medani ya vita vya nyuklia. Baada ya kusimamia jaribio hilo la leo, 

Kim Jong Un ametoa maelekezo ya kuimarishwa kwa uwezo wa ulinzi na nguvu za nyuklia nchini mwake. 

Jeshi la taifa jirani la Korea Kusini limesema limebaini kurushwa kwa makombora mawili kutoka pwani ya mashariki ya Korea Kaskazini yaliyosafiri umbali wa kilomita 110. 

Taarifa za jaribio hilo zimetolewa katika wakati kuna ishara kwamba hivi karibuni Korea Kaskazini inaweza kuanza tena majaribio yake ya silaha za nyuklia baada ya Pyongyang kukiuka marufuku ya kufanya majaribio ya makombora ya masafa marefu mwezi uliopita.



Credit: MPEKUZI

Thanks for your time please share with your friends
Name

Afya,4,Ajira,2657,Audio,26,Biashara,2,Burudani,43,Economics,1,ELIMU,26,Gossip,38,Habari,3618,History,2,Kimataifa,202,kisiasa,13,Kiswahili,6,Kitaifa,147,Magazeti,44,Matokeo,3,Matukio,89,Michezo,2829,Muziki,62,Nairobi aiport,1,Ripoti,4,Tools,1,Top Stories,757,Video,47,Vituko,15,
ltr
item
Antagon Blog: Korea Kaskazini yafanya jaribio la makombora chini ya usimamizi wa Kim
Korea Kaskazini yafanya jaribio la makombora chini ya usimamizi wa Kim
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEgKygQQ64UQni_gsU0v18t8ve1NS4YLp9F8HeKOaB5gk07sMH4brDkqeY677PZdV-3cauJgNycSDAP4OEyFXXUo7eYh2dIi10oS5uGxVgh-wI2sPrW_lukIXYea5WjojziDZ2GvIlJNw8jRgiA3Pab_pNSlBEy1PEMVhge32XnANxef3NoHLOeVz30E9w/s16000/1.jpg
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEgKygQQ64UQni_gsU0v18t8ve1NS4YLp9F8HeKOaB5gk07sMH4brDkqeY677PZdV-3cauJgNycSDAP4OEyFXXUo7eYh2dIi10oS5uGxVgh-wI2sPrW_lukIXYea5WjojziDZ2GvIlJNw8jRgiA3Pab_pNSlBEy1PEMVhge32XnANxef3NoHLOeVz30E9w/s72-c/1.jpg
Antagon Blog
https://antagonf.blogspot.com/2022/04/korea-kaskazini-yafanya-jaribio-la.html
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/2022/04/korea-kaskazini-yafanya-jaribio-la.html
true
8268252095325502418
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy