Urusi yawataka wanajeshi wa Ukraine walioko Mariupol kujisalimisha
HomeHabari

Urusi yawataka wanajeshi wa Ukraine walioko Mariupol kujisalimisha

Jeshi la Urusi limevitolea mwito vikosi vya Ukraine katika mji wa bandari uliozingirwa wa Mariupol kuweka chini silaha na kujisalimisha l...

Marekani yaiondolea Burundi vikwazo
Majaliwa: Lishe Bora Ni Muhimu Kwa Ukuaji Wa Uchumi
Bilioni 5.7 Kutumika Kuanzisha Kituo Cha Mafunzo Ya Upimaji Na Ramani Nchini


Jeshi la Urusi limevitolea mwito vikosi vya Ukraine katika mji wa bandari uliozingirwa wa Mariupol kuweka chini silaha na kujisalimisha likionya kutakuwa na "taathira kubwa" baada ya muda uliowekwa kumalizika. 

Taarifa iliyotolewa na Jenerali Mikhail Mizintsev wa jeshi la Urusi imesema wapiganaji wa Ukraine wanapaswa kujisalimisha kuanzia asubuhi ya leo Jumapili na kuongeza kuwa wote watakaoweka chini silaha hawatashambuliwa. 

Kulingana na maelezo ya Urusi, wapiganaji wote wa mwisho wa Ukraine katika mji wa Mariupol wamezingirwa katika majengo ya kiwanda cha kufua chuma cha Azovstal na wanatakiwa kutoka mafichoni wakiwa na bendera nyeupe kabla ya saa saba mchana. 

Rais wa Ukraine Volodymyr Zelenskyy amesema amezungumza kwa njia ya simu na viongozi wa Uingereza na Sweden kuhusu hali kwenye mji wa Mariupol anayosema kuwa ya hatari na kwamba Urusi inajaribu kumuangamiza kila mtu kwenye eneo hilo.



Credit: MPEKUZI

Thanks for your time please share with your friends
Name

Afya,4,Ajira,2657,Audio,26,Biashara,2,Burudani,43,Economics,1,ELIMU,26,Gossip,38,Habari,3618,History,2,Kimataifa,202,kisiasa,13,Kiswahili,6,Kitaifa,147,Magazeti,44,Matokeo,3,Matukio,89,Michezo,2829,Muziki,62,Nairobi aiport,1,Ripoti,4,Tools,1,Top Stories,757,Video,47,Vituko,15,
ltr
item
Antagon Blog: Urusi yawataka wanajeshi wa Ukraine walioko Mariupol kujisalimisha
Urusi yawataka wanajeshi wa Ukraine walioko Mariupol kujisalimisha
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEiVUvbZCfeqT6U239QJod67X41M8JkI9-MCrrmKmJhjdoSbZaJPlP-IbAt3zSoUR3zr7SZANAH8Tqmnr4FQMfcwCEV-n6CCKf0xKY-XwoRnnFouk5pCVcHAO6ZPX6Xn19YkcVxE09-3QK5vtBVdpFgYVKLa5DkMNt83cHfPy5jv8P_Afnv7-fz8tjZRyA/s16000/1.jpg
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEiVUvbZCfeqT6U239QJod67X41M8JkI9-MCrrmKmJhjdoSbZaJPlP-IbAt3zSoUR3zr7SZANAH8Tqmnr4FQMfcwCEV-n6CCKf0xKY-XwoRnnFouk5pCVcHAO6ZPX6Xn19YkcVxE09-3QK5vtBVdpFgYVKLa5DkMNt83cHfPy5jv8P_Afnv7-fz8tjZRyA/s72-c/1.jpg
Antagon Blog
https://antagonf.blogspot.com/2022/04/urusi-yawataka-wanajeshi-wa-ukraine.html
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/2022/04/urusi-yawataka-wanajeshi-wa-ukraine.html
true
8268252095325502418
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy