Waziri Mkuu wa Uingereza Boris Johnson Apigwa Marufuku Kuingia Urusi
HomeHabari

Waziri Mkuu wa Uingereza Boris Johnson Apigwa Marufuku Kuingia Urusi

KWA mara ya kwanza tangu vita kati ya Urusi na Ukraine ianze Urusi imetamka rasmi kupitia kwa Waziri wake wa Mambo ya Nje kumpiga marufuk...

Rais Samia akutana na kuzungumza na Mtendaji Mkuu wa Kampuni ya Airtel Afrika Olusegun Ogunsanya-Dubai, UAE
Jeshi La Polisi Mwanza Lamshikilia 'mfamlme Zumaridi' Kwa Tuhuma Za Usafirishaji Haramu Wa Binadamu Na Unyonyaji
Rais Samia Afanya Uteuzi wa Kiongozi Mmoja


KWA mara ya kwanza tangu vita kati ya Urusi na Ukraine ianze Urusi imetamka rasmi kupitia kwa Waziri wake wa Mambo ya Nje kumpiga marufuku Waziri Mkuu wa Uingereza Boris Johnson kukanyaga katika ardhi ya Urusi yeye pamoja na Mawaziri wengine kumi na mbili.

Sambamba na Boris, Urusi imempiga marufuku Katibu wa Wizara ya Mambo ya Nje Liz Truss, Katibu Mkuu wa Wizara ya Ulinzi Ben Wallace pamoja na wafanyakazi wengine 10 wa Serikali ya Uingereza kutoingia nchini Urusi.

Viongozi wengine wa Uingereza waliopigwa marufuku kuingia nchini Urusi ni Dominic Raab, Grant Shapps, Priti Patel, Rishi Sunak, Kwasi Kwarteng, Nadine Dorries, James Heappey, Nicola Sturgeon, Suela Braverman pamoja na Thereza May.


Credit: MPEKUZI

Thanks for your time please share with your friends
Name

Afya,4,Ajira,2657,Audio,26,Biashara,2,Burudani,43,Economics,1,ELIMU,26,Gossip,38,Habari,3618,History,2,Kimataifa,202,kisiasa,13,Kiswahili,6,Kitaifa,147,Magazeti,44,Matokeo,3,Matukio,89,Michezo,2829,Muziki,62,Nairobi aiport,1,Ripoti,4,Tools,1,Top Stories,757,Video,47,Vituko,15,
ltr
item
Antagon Blog: Waziri Mkuu wa Uingereza Boris Johnson Apigwa Marufuku Kuingia Urusi
Waziri Mkuu wa Uingereza Boris Johnson Apigwa Marufuku Kuingia Urusi
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEgCe7VtzicOcDC0jgCUZ6s2RDBbl3mdAkPTcQa1Tv4Xp8MaHC5EdcVy_KbrpUIRZnq_1VJh_KgUbQGltVDh9MIxtUBjbswKo62d5VETnp6FTlpn2LxbS8HdB2WzEXvhZaetAF-w-QoeyBmdw6b7JncC0T3SDPhMtkeIdamzKH0OnLAwsnOCrsWCZoOFcQ/s16000/1.jpg
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEgCe7VtzicOcDC0jgCUZ6s2RDBbl3mdAkPTcQa1Tv4Xp8MaHC5EdcVy_KbrpUIRZnq_1VJh_KgUbQGltVDh9MIxtUBjbswKo62d5VETnp6FTlpn2LxbS8HdB2WzEXvhZaetAF-w-QoeyBmdw6b7JncC0T3SDPhMtkeIdamzKH0OnLAwsnOCrsWCZoOFcQ/s72-c/1.jpg
Antagon Blog
https://antagonf.blogspot.com/2022/04/waziri-mkuu-wa-uingereza-boris-johnson.html
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/2022/04/waziri-mkuu-wa-uingereza-boris-johnson.html
true
8268252095325502418
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy