HAJI MANARA ANA NONGWA NA SIMBA, AGUSIA BILIONI 20
HomeMichezo

HAJI MANARA ANA NONGWA NA SIMBA, AGUSIA BILIONI 20

  HAJI Manara, usajili mpya ndani ya Yanga katika kitengo cha habari ameweka wazi kuwa yeye hana kisasi  ila ana nongwa ya kahawa huku ak...

YANGA KAZI INAENDELEA KWA AJILI YA MSIMU MPYA WA 2021/22
MFAUME MFAUME AZIGOMEA KEJELI ZA MWAKINYO
USAJILI ULAYA, MAJEMBE HAYA YALILETA MSHTUKO

 


HAJI Manara, usajili mpya ndani ya Yanga katika kitengo cha habari ameweka wazi kuwa yeye hana kisasi  ila ana nongwa ya kahawa huku akigusia dili la mzigo wa bilioni 20 za Simba.


Manara alitambulishwa ndani ya Yanga, Agosti 24 mbele ya Waandishi wa Habari na kukabidhiwa jezi ya Yanga na kazi yake ya kwanza ilikuwa ni Agosti 25, Mlimani City ambapo alitambulisha jezi mpya za Yanga.

Akiwa ndani ya Simba aliweza kudumu kwa muda wa miaka sita alikuwa ni Mkuu wa Kitengo cha Habari alisepa ndani ya kikosi hicho baada ya kuwaaga mabosi wake kupitia kundi la Simba HQ na taarifa rasmi ya kusepa kwake Simba ilitolewa Agosti 28.

Manara amesema:"Mimi kisasi sina ila nina nongwa ya kahawa. Kahawa kikombe chake kidogo kinaunguza, hiyo ni sifa yake mbaya, pili ya moto, tatu siku hizi wanaongeza pilipili mtama, tangawizi , sijui mavitu gani hii ni sifa mbaya nina nongwa ya kizaramo haiishi.

"Sitawafanyia nongwa Simba, siwezi kama wenyewe wanavyojinasibu kuwa Simba ni kubwa kuliko mtu yoyote.  Mimi nina nongwa kwa sababu nilitumia nguvu kubwa kuibrand timu ile na kuwaaminisha watu yasiyowezekana na mengine yaliwezekana.


"Kwa mfano baada ya sakata lile siku tatu mbele ikatengenezwa press, (Mkutano) kunitoa njiani mimi ikatengenezwa press na bango kubwa likawekwa. Tusiongopeane ile ni taasisi kubwa, unasema umeweka bilioni 20, benki gani?


Katika mkutano huo unaozunguziwa ni cheki ya bilioni 20 ambayo ilisainiwa ikiwa ni sehemu ya uwekezaji ndani ya kikosi hicho.



Credit: SALEH JEMBE

Please subscribe to get all sports news instantly
Name

Afya,4,Ajira,2657,Audio,26,Biashara,2,Burudani,43,Economics,1,ELIMU,26,Gossip,38,Habari,3618,History,2,Kimataifa,202,kisiasa,13,Kiswahili,6,Kitaifa,147,Magazeti,44,Matokeo,3,Matukio,89,Michezo,2829,Muziki,62,Nairobi aiport,1,Ripoti,4,Tools,1,Top Stories,757,Video,47,Vituko,15,
ltr
item
Antagon Blog: HAJI MANARA ANA NONGWA NA SIMBA, AGUSIA BILIONI 20
HAJI MANARA ANA NONGWA NA SIMBA, AGUSIA BILIONI 20
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEiOfOeo6IrDvXi5iQ3Jd4ZzNezc3hnqc323a77yKkX0zmdyWxzGG0yjp8DJuVrkQpA-ccEo9tZVnUV36iyYbA_8KCyq0WHXUpN92t4zjHFdVSvUzW90DjUulOcypufv2kjCbGdmIUw_IbKy/w606-h640/Screenshot_20210827-055048_Instagram.jpg
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEiOfOeo6IrDvXi5iQ3Jd4ZzNezc3hnqc323a77yKkX0zmdyWxzGG0yjp8DJuVrkQpA-ccEo9tZVnUV36iyYbA_8KCyq0WHXUpN92t4zjHFdVSvUzW90DjUulOcypufv2kjCbGdmIUw_IbKy/s72-w606-c-h640/Screenshot_20210827-055048_Instagram.jpg
Antagon Blog
https://antagonf.blogspot.com/2021/08/haji-manara-ana-nongwa-na-simba-agusia.html
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/2021/08/haji-manara-ana-nongwa-na-simba-agusia.html
true
8268252095325502418
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy