MZEE wa pasi milioni shabiki wa Simba amesema kuwa wachezaji wa Yanga walikuwa wakicheza kwa kujiangusha jana Julai 3, huku nyota wao Bernar...
MZEE wa pasi milioni shabiki wa Simba amesema kuwa wachezaji wa Yanga walikuwa wakicheza kwa kujiangusha jana Julai 3, huku nyota wao Bernard Morrison akicheza mchezo mkubwa.
Credit: SALEH JEMBE
Please subscribe to get all sports news instantly
Pia amewaambia kwamba wachezaji wa Simba na benchi la ufundi walipambana ila bahati haikuwa yao wanakwenda kupambana na Yanga Kigoma, fainali ya Shirikisho.
Credit: SALEH JEMBE
Please subscribe to get all sports news instantly
COMMENTS