SUALA LA MABADILIKO YANGA BADO KIDOGO KUKAMILIKA, FCC WATAJWA
HomeMichezo

SUALA LA MABADILIKO YANGA BADO KIDOGO KUKAMILIKA, FCC WATAJWA

  K AMATI ya Katiba  na Kamati ya  Mabadiliko  wamekamilisha  ripoti ya muundo pendekezwa  na kukabidhi kwa Kamati ya  Utendaji ya Yanga. ...


 KAMATI ya Katiba na Kamati ya Mabadiliko wamekamilisha ripoti ya muundo pendekezwa na kukabidhi kwa Kamati ya Utendaji ya Yanga.

Ripoti hiyo alikabidhiwa Mwenyekiti wa klabu hiyo, Dk Mshindo Msolla akiwa pamoja na baadhi ya viongozi wa sekretarieti mara baada ya kukamilika.

Hiyo inaamanisha mfumo pendekezwa wa mabadiliko ya uendeshaji wa Klabu ya Yanga kukamilika rasmi chini ya kamati iliyokuwa inaongozwa na mwenyekiti wake, Alex Mgongolwa.

 

 Msolla alisema kuwa mfumo huo pendekezwa wa mabadiliko ya uendeshaji wa Yanga umekamilika rasmi na hivi sasa wanakwenda katika hatua nyingine.


Msolla alisema kuwa kilichobakia hivi sasa ni kufuata muongozo na baraka kutoka kwa washika dau wa michezo ambao ni wizara yenye dhamana na michezo, Baraza la Michezo la Tanzania (BMT), Fair Competition Commission (FCC), TFF na Bodi ya Ligi Kuu Bara.

 

“Baada ya kukamilika vitu vyote hivyo, semina elekezi kwa viongozi wa matawi zitatolewa kwa madhumuni ya kusambaza elimu ya mabadiliko haya na pia kupokea maoni ya wanachama ili kuyafanya mabadiliko haya kuwa shirikishi na yenye maslahi mapana ya klabu yetu.

 

"Mwisho kabisa ni Mkutano Mkuu wa Wanachama utakaofanyika kupata uamuzi na baraka za wanachama kuelekea mabadiliko ambayo mashabiki wanayasubiria.


“Niahidi kukamilisha hilo jambo kwa haraka ili nifanikishe sehemu ya ahadi yangu niliyoitoa kipindi cha uchaguzi kwa kuahidi kukamilisha mfumo wa mabadiliko ambao hivi sasa upo mwishoni kukamilika,” alisema Msolla.


Chanzo:Championi



Credit: SALEH JEMBE

Please subscribe to get all sports news instantly
Name

Afya,4,Ajira,2657,Audio,26,Biashara,2,Burudani,43,Economics,1,ELIMU,26,Gossip,38,Habari,3618,History,2,Kimataifa,202,kisiasa,13,Kiswahili,6,Kitaifa,147,Magazeti,44,Matokeo,3,Matukio,89,Michezo,2829,Muziki,62,Nairobi aiport,1,Ripoti,4,Tools,1,Top Stories,757,Video,47,Vituko,15,
ltr
item
Antagon Blog: SUALA LA MABADILIKO YANGA BADO KIDOGO KUKAMILIKA, FCC WATAJWA
SUALA LA MABADILIKO YANGA BADO KIDOGO KUKAMILIKA, FCC WATAJWA
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEhQH-2UFLBhyphenhyphenP0BXQY7rt9i4GSxF3kP-NxdaasfaN_2E7S1VcUAQArOFH-hpIDOE_LXgJsxXILBJX1d8RaDi9-8OATeqVTNNYMEdfuqg_yJTf20vqC8wQHVp-z2XPEjMpweVs2B_KL3ggbq/w640-h400/Mabadiliko+Yanga.jpg
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEhQH-2UFLBhyphenhyphenP0BXQY7rt9i4GSxF3kP-NxdaasfaN_2E7S1VcUAQArOFH-hpIDOE_LXgJsxXILBJX1d8RaDi9-8OATeqVTNNYMEdfuqg_yJTf20vqC8wQHVp-z2XPEjMpweVs2B_KL3ggbq/s72-w640-c-h400/Mabadiliko+Yanga.jpg
Antagon Blog
https://antagonf.blogspot.com/2021/04/suala-la-mabadiliko-yanga-bado-kidogo.html
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/2021/04/suala-la-mabadiliko-yanga-bado-kidogo.html
true
8268252095325502418
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy