CLEOPHANCE Mkandala, kiungo mshambuliaji wa kikosi cha Dodoma Jiji kinachonolewa na Kocha Mkuu, Mbwana Makata amesema kuwa walikuwa wanahita...
CLEOPHANCE Mkandala, kiungo mshambuliaji wa kikosi cha Dodoma Jiji kinachonolewa na Kocha Mkuu, Mbwana Makata amesema kuwa walikuwa wanahitaji kupata pointi tatu ila walikwama kutokana na kuzidiwa mbinu.
Credit: SALEH JEMBE
Please subscribe to get all sports news instantly
Amebainisha kwamba kuifunga Simba kwenye mechi mbili walipokutana Uwanja wa Jamhuri wakati ubao ukisoma Dodoma Jiji 1-2 Simba na jana ubao kusoma Simba 3-1 Dodoma Jiji kwa Mkapa kwake ni furaha.
Credit: SALEH JEMBE
Please subscribe to get all sports news instantly
COMMENTS