GSM wadhamini wa Yanga wameshusha mashine mpya kwa Yanga ambayo ni gari aina ya Scania inakwenda kufanyiwa maboresho ili kuwa bora zaidi kwa...
GSM wadhamini wa Yanga wameshusha mashine mpya kwa Yanga ambayo ni gari aina ya Scania inakwenda kufanyiwa maboresho ili kuwa bora zaidi kwa kuweka nembo na matengenezo madogomadogo.
Credit: SALEH JEMBE
Please subscribe to get all sports news instantly
Credit: SALEH JEMBE
Please subscribe to get all sports news instantly
COMMENTS